Unawezaje kutambua kuwa ni mchawi?

Unawezaje kutambua kuwa ni mchawi?

Sawa mkuu, nakusubiri
Huyu mzee bado yuko hai? Kama bado yuko hai ni kumrudia mkayajenge lakini kama keshakufa kuna mawili matatu ya kufanya
1. Kusubiri kitu alichokupiga nacho kifikie ukomo wake
2. Utete na Mungu wako, maombi na sala kwa wingi
3. Tafuta wazee wa mila wakufanyie kafara la kufubaza hicho kitu
4. Tumia tiba ya chumvi,tumia kwa muda mrefu
 
Huyo mzee bado yuko Hai, Kuna kipindi nduguzangu walimfuata Waka mwambia, mbona Mtoto wetu ana lamimika kua Wewe ndie ulie zingua, alikataa yeye haja fanya kitu Kwangu, kuhusu maombi nimeombewa Sana na nimeomba Sana, Kuna kipindi najisemea MOYONI ngoja niombe Sasa kinacho futa hapo ni kumwa miwili mzima mpaka napata na Homa kali mpaka napelekwa hopitali, Kuhusu ndoto Kuna ndoto inajirudia Sana naota niko kwenye jengo kubwa Sana huko ndani Kuna vyumba vingi, Sasa nataka kutoka nje sioni mlango, najiseme ngoja nipite hapa nikianza kupita tu hiyo sehemu Ina anza kua ndogo mpaka kunibana nakua siwez tena kwenda wala kurudi nastuka usngizini.
 
Naomba na mimi nichangiei kwa ufupi tu je na mimi ni mojawapo ya nguvu hii
Nikiwa mdogo nasoma sekondari kuna machale nilikuwa yana nijia nahisi baba yupo njia anakuja inatokea kweli jambo hili lilikua linatokea mara kwa mara
Jambo la pili ambalo sito lisahau ni hili siku moja nipo dar Vingunguti kuna jamaa wavutaji bangili nikaomba nijaribu wakanipa nijaribu nikasikia kichwani kwenye utosi panawaka moto mapigo ya moyo yakaenda mbio mwili wote kuna vitu vinachoma hali hiyo inatokea nikajirbu meditation ya breathing nikakimbia mpaka home yombo kufika mlangoni akilini naambiwa nimefanya dhambi wewe ni wa motoni nikapinga nikapinga magoti nakuomba Mungu kwa yale nilifanya pembeni kuna jamaa yangu na chumba cha pili kuna mama fulani akili ikahama na kuniambia hawa ndio chanzo nikamfuta yule jamaa nakumhuliza kwanini miaka yote hile nimekaa nae sijawahi vuta akaniambia tulia nikakata nikamfuta yule mama nikaomba msamaha maana tulikua hatuna usiano mzuri baadae nikatoka nikaenda nje narudi akili akihama ikaniambia huyu mama anachukuma ulete nikaona kila ninapotka kazini hela Zangu kuzichukua pindi nifikapo mlangoni na kweli nilikua sina chochote yaani miaka nenda rudi nikampitia nikaingia kwangu kumbuka kuna yule jamaa mvutaji nikamhuliza tena kwanini nimekuwa vile nikaanza kulia huku nakunywa maji nikaanza kusikia nyimbo akilini za kanisani zinaimba nikapinga nikaanza kuomba yule jamaa yangu akaanza kuniuliza vitu akilini lakini yaani yupo hatua kama tatu ameniangalia akilini mwangu naona aniniuliza nakuombà ni mwenzie nikawa nakataa ninapo kataa naona anaumia nikaona kama naenda kuzimu na yule jamaa kwa nguvu nikaomba omba sana baadae nikaona anakata tamaa hile joto na hali ikapungua nakarudi kwenye hali yangu ya kawaida ,hali ikabadilika kuna mambo yakawanayaona nikihingia nyumba mbaya hali fulani inanijia, kama kuna jambo baya lipo akilini naambiwa,yaani naweza kujulishwa mbele kuna jambo fulani na kweli lipo ,na mambo mengi tu nilikua nayaona hasa ya ushirikina
Sasa sijajua hali hii ni nguvu kama zilizotajwa
 
Huyu mzee bado yuko hai? Kama bado yuko hai ni kumrudia mkayajenge lakini kama keshakufa kuna mawili matatu ya kufanya
1. Kusubiri kitu alichokupiga nacho kifikie ukomo wake
2. Utete na Mungu wako, maombi na sala kwa wingi
3. Tafuta wazee wa mila wakufanyie kafara la kufubaza hicho kitu
4. Tumia tiba ya chumvi,tumia kwa muda mrefu
Habari mkuu Mshana Jr naomba unisaidie tena kwenye hili limenitatiza.
Kuna tofauti Kati ya mtu anayekesha usiku kucha kwenye chumba chenye giza hawazi chochote, Yaani anasema itafikia hatua akizowea sana kwamba ata-master nakuwa anaona vitu vya rohoni hata akiwa anatembea (akigeuza analala mchana usiku anakesha amekaa)

Je, Kuna tofauti Kati ya mtu huyo na anaefanya meditation hizi tunazofundishwa? Au wote lengo ni moja tofauti ni practice tu?

(Nilimsikia mlokole mmoja akifundisha kwenye YouTube yake- waumini wake wawe wanakesha usiku kwakuwa Yesu alikuwa halali alikesha mlimani)
 
Huyu mzee bado yuko hai? Kama bado yuko hai ni kumrudia mkayajenge lakini kama keshakufa kuna mawili matatu ya kufanya
1. Kusubiri kitu alichokupiga nacho kifikie ukomo wake
2. Utete na Mungu wako, maombi na sala kwa wingi
3. Tafuta wazee wa mila wakufanyie kafara la kufubaza hicho kitu
4. Tumia tiba ya chumvi,tumia kwa muda mrefu
hii tiba ya chumvi inahitajika kutumika wakati wa kuoga ukiwa chooni au nje kusipokuwa na najisi?
 
Binafsi nina nguvu flani ndani yangu ambayo sijaijua ni nguvu gani. Kuna wakati naweza kukaa nikawaza kitu flani na sio kwamba nimelala nakuwa macho lakini nawaza, baada ya muda kupita kama wiki, mwezi au siku kadhaa kile kitu nilichokiwaza kinatokea vilevile. Juzi juzi tu hapa nimekaa hapa Ofisini kwetu nikasikia kama kitu kinaniambia nikee roho ya mauti ofisini kwetu, nikawahadithia wenzangu kwamba kuna sauti imeniambia hivi, wakasema tu inabidi ukemee na ukiangalia kumetokea misiba zaidi ya saba kwa mwaka huu mmoja ukiwa wa staff mwenzetu na mwingine wa watu wa karibu na staff wetu wakiwemo wadada wawili wa hapa ofisini kuharibikiwa mimba kubwa tu. Pia kuna wakati naota napambana na wachawi sana nakemea mpaka mume wangu ananiamsha anasema mbona unakemea kuna nini? namhadithia kilichotokea. Hata kama ni mtu nilimuwaza atakuja ataniambia kitu flani atakuja mtu yuleyule na nguo zilezile na ataniambia kitu kilekile, pia nikifanya biashara huwa inatoka sana ila si mzingatiaji nabanwa na kazi, nikimsaidia mtu kutoka moyoni haipiti siku mbili napata kama ni hela au safari ya kulipwa hela zaidi ya kile nilichotoa. Je hizi ndizo hizo nguvu unazoziongelea za asili au? Undava, Mshana JR nisaidieni tafadhali.
Itakuwa ni nguvu ya asili
 
Huyu mzee bado yuko hai? Kama bado yuko hai ni kumrudia mkayajenge lakini kama keshakufa kuna mawili matatu ya kufanya
1. Kusubiri kitu alichokupiga nacho kifikie ukomo wake
2. Utete na Mungu wako, maombi na sala kwa wingi
3. Tafuta wazee wa mila wakufanyie kafara la kufubaza hicho kitu
4. Tumia tiba ya chumvi,tumia kwa muda mrefu
Mkuu kwenye kula mbususu kua ndo kunadho ofisha nguvu za asili je Chumvi ya mawe inaweza kusaidia kurejesha hzo nguvu?
 
Huyo mzee bado yuko Hai, Kuna kipindi nduguzangu walimfuata Waka mwambia, mbona Mtoto wetu ana lamimika kua Wewe ndie ulie zingua, alikataa yeye haja fanya kitu Kwangu, kuhusu maombi nimeombewa Sana na nimeomba Sana, Kuna kipindi najisemea MOYONI ngoja niombe Sasa kinacho futa hapo ni kumwa miwili mzima mpaka napata na Homa kali mpaka napelekwa hopitali, Kuhusu ndoto Kuna ndoto inajirudia Sana naota niko kwenye jengo kubwa Sana huko ndani Kuna vyumba vingi, Sasa nataka kutoka nje sioni mlango, najiseme ngoja nipite hapa nikianza kupita tu hiyo sehemu Ina anza kua ndogo mpaka kunibana nakua siwez tena kwenda wala kurudi nastuka usngizini.
Duh pole sana mkuu. Kutembea unaweza na kufanya shughuli zako au ni wa kitandani tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom