Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,662
- 870,346
Inategemea kwenye mizania ya haki italalia upande ganiHakuna mganga wa kuagua asiyejua kuroga,
Na anae agua ukimpa dili la kuroga hakataiii.
Motoni watakua kuni, wajiandae.
Inategemea kwenye mizania ya haki italalia upande ganiHakuna mganga wa kuagua asiyejua kuroga,
Na anae agua ukimpa dili la kuroga hakataiii.
Motoni watakua kuni, wajiandae.
Are you a Muslim ?Inategemea kwenye mizania ya haki italalia upande gani
HapanaAre you a Muslim ?
Nimeelewa mpaka mwili umesisimkaSWALI LA 1:-
Kipi sasa kifanyike ili nguvu hizi ziendelee kuwepo?..na jee? Zitatumika vipi?
Kwanza lazima utambue uwepo wa nguvu hizo mwilini mwako na uamini uwepo wake.
Kutambua uwepo wa nguvu hizo itakusaidia kujua wewe una uwezo gani wa kuzaliwa, ni karama gani uliyojaaliwa na Mungu hivyo kujua KWANINI nguvu hizo zipo kwako, na ukishaelewa sababu ya uwepo wa nguvu hizo hapo itakuwa rahisi kujua kwamba una uwezo wa kufanya vitu gani kupitia uwezo ulionao.
Je, uliwahi kuhisi uwepo wa nguvu hizo na kuamini kuwa unazo? Na je una karama gani inayoendana na nguvu hizo ?
Ukishapata majibu basi itakuwa rahisi kujua ufanye nini ili kutumia nguvu hizo kupata matokeo chanya.
Mfano:- Binafsi uwezo nilionao, nikifanya biashara huwa napata matokeo mazuri sana bila kujali ukubwa wa biashara husika, hii ni kwasababu ya uwezo wa kusoma na kutambua mawazo ya mteja na uhitaji, pia ubunifu katika yale ninayoyafanya, sasa nguvu hizi huwa zinatumika wakati wa kutafuta majibu ya maswali kama vile nifanye nini ili kuongeza wateja? Au ni biashara gani nifanye eneo husika yenye uhitaji.
Pia katika kuzungumza. Ninapoongea na wewe live huwa naweza kuamsha nguvu fulani ya ushawishi ili kukubaliana na kile ninachokitaka kutegemeana na matakwa yangu, yaani kufanya kile ninachotaka mimi.
Mifano ipo mingi ila chukua hiyo.
SWAKI LA 2:-
Kwa nini sex imekuwa kama nyenzo ya kuzimaliza nguvu za mtu??
Kwanza tambua, tendo la ndoa ni IBADA. Sex inahusisha ulimwengu wa roho na mwili pia. Manapokutana kimwili huwa kuna kuwa na muunganiko wa nafsi mbili tofauti, yaani ya kwako na ya huyo mwanamke/mwanaume uliye naye.
Nguvu hii huwa ipo ndani kwenye nafsi/roho ilipo, ambayo ni sawa na kusema ni ulimwengu wako wa kiroho.
Sasa unapokutana kimwili mnabadilishana baadhi ya vitu/nguvu katika ulimwengu wa kiroho na sehemu ya nguvu yako itaenda kwa mwanamke na sehemu ya nguvu ya mwanamke itakuingia wewe, sasa hapo itategemeana na kilichopo katika ulimwengu wa kiroho wa huyo mwanamke/mwanaume.
Kama ulishawahi kusikia wanawake wakisema kuna mwanaume ukilala naye mambo yako yanakuwa vizuri na kama in biashara siku hiyo utauza sana kuliko kawaida, au mwanaume unahisi ukikutana na fulani mambo yako huwa yanakuwa poa sana, sasa hii ni kutokana na kubadilishana zile nguvu wakati wa tendo.
Nguvu zako zinapungua kadiri ambavyo unazidi kufanya tendo hilo na watu wa aina tofautitofauti hivyo kupandikiza roho/nguvu za aina mbalimbali na kuvuruga ile nguvu yako halisi iliyokuwepo mwanzo maana kuna watu wana nguvu za ajabu zingine zikiwa nzuri na zingine zikiwa mbaya.
Tendo la ndoa ni AGANO linalofanyika baina yenu wawili, yaani mnafungamana kiroho na kimwili ndiyo maana kuoa bikra ni jambo jema kwa sababu mnafanya muunganiko bila uwepo wa nafsi/nguvu/roho zingine.
Mwanamke yeyote uliyefanya naye tendo la ndoa hata miaka kadhaa bila kukutana, siku mkionana ni rahisi sana kufanya naye tendo hilo bila hata kusumbuka, hii ni kwasababu spiritually you're connected.
Hakuna mwanamke anayeweza kumsahau mwanaume aliyemtoa bikra, na akitaka mchezo ni rahisi sana kupewa.
Ni somo pana na hata hawa dada zetu wanaoaumbuka kwenye ndoa leo kaolewa kesho kaachika, tatizo linaanziaga ndani kwenye nafsi/roho. Aina ya wanaume aliokutana nao walipandikiza vitu gani ndani yake. Wengi huwa wanaona haya ni kama mambo ya kawaida ila uhalisia wake ni tofauti kabisa.
Juma kakutoa bikra, baadae ukakutana na shabani, baadae Peter , wote hao wanaokuingilia au kuwaingilia unafanya nao maagano, sasa ukija kuolewa na Joseph, kumbuka nafsi ya Joseph pia inaongezeka na ukikutana na wale watu wako wa nyuma kinachofanyika ni kuamsha nafsi hizo hivyo kutoa mzigo inakuwa kazi nyepesi kabisa.
Sex ni kitendo cha kuungana kwa nafsi/roho/nguvu, yaani mnabadilishana hizo nguvu, sasa ukiwa ni mtu wa kufanya sana matokeo yake unavuruga nguvu zako halisi.
Kama kutakuwa na swali utauliza boss.
SWALI LA 3:-
-Jee kwa mtu mwenye imani ya Kikristo ataruhisiwa kufanya meditation
Meditation siyo dhambi na kuna aina mbalimbali za meditation kulingana na DHUMUNI LA WEWE KUFANYA meditation. Unapokuwa unasali tambua pale unafanya meditation.
Yaani uzuri na ubaya wa meditation huwa unategemea lengo lako haswa nini.
Kuna wanaofanya meditation kuita majini na viumbe vya ajabu, kuna wanaofanya meditation kutuliza akili na kupunguza stress, kuna wanaofanya meditation kuimarisha mzunguko wa damu na namna ya upumuaji.
Kiufupi meditation siyo mbaya kama una nia njema. Ila kama una nia mbaya lazima ujiandae kwa matokeo.
Muanzisha mada kama sema wenye hizo nguvu ndo wachawi
Kwa bahati mbaya wachawi huwa tunawaweka kwenye kundi moja tu la walogaji au washirikina nakuwasahau wale wafanyao mambo yasiyowezekana na tunawapa sifa nzuri tu wakileta uthibitisho na kwa wale wasio na uthibitisho tunawapatia jina la "watenda miujiza"au "waaguzi na waponyaji"Wenye nguvu hizi ndo wachawi!!??
Kwa hiyo ww ni mchawiNadhani huyo ni Mimi kwa asilimia 100
Pale unapoamini uchawi ni kama wa kwenye muvi za harry potter.Jitambue ikiwa umezaliwa ukiwa na uwezo au nguvu za kichawi ndani yako ambazo unafree will nazo kutozitumia au kuzitumia kwa mazuri(chanya) au mabaya(hasi), kazi ni kwako;
1.Una imani thabiti juu ya kuwajibika juu ya matendo yako au unabeba kinachokukumba kama sehemu ya kukosea,kujiadhibu au kupatia kwako pasipo kulahumu au kutwisha misalaba wengine.
2.Unajisikia vizuri sana ukiwa katika mazingira ya asili au kuishi katika mazingira ya nyumbani ambayo yana uoto na mazingira matulivu ya asili.
3. Unaweza kuhisi au kukisia nguvu hasi au chanya toka kwa wengine (ni kama kipawa usichoweza kukielezea kwanini unafanya hivyo) Mara nyingi unajikuta ni mtu mwenye tahadhari sana.
4.Unaweza kuwa pia na uwezo wa kuponesha au kutibu wagonjwa kiasili,kushauri kitabibu pasipo kusomea au kwa kukadiria tiba na ikawa au pengine wapenda sana masuala ya kutafiti mitishamba n.k na unapofanya hivyo unafurahia kweli toka moyoni.
5. Unajisikia tofauti au unawaza tofauti na watu wa rika lako na mara nyingi ukuwia vigumu kuchangamana nao au upendi vikundi "hiki kitendo kimedumu kwa muda mrefu maishani mwako japo si mara zote" na unakuwa na hisia kuwa umekuwa hivyo tokea hata ujajitambua ni lini hasa ulianza kujitofautisha.
6.Una ukarimu usiyo wa kawaida, una moyo wa kusaidia au kujitoa japo mara kadhaa umetendwa au kufanyiwa ndivyo sivyo lakini unaendelea kujitoa kusaidia wengine au kuufungulia moyo wako dunia.
7. Unajihisi unamuunganiko imara na utukufu, idea ya Mungu kuwa ni kiumbe pekee katika fikra zako unaona ni vyema kama ikielezewa kuwa ni nguvu ijumuishayo hali ya kiume na kike kwa pamoja iendayo na kutoka pia kuzunguka kila kiumbe na kila kitu.
8. Unataka au unapenda mno kujifunza bila mipaka hasa mambo ya sirini au yasiyo marahisi kuchunguzika na unachotaka ni kujitambua au kujiweka huru kifkra.
9.Una hisia nzito ya huruma na kuheshimu wanyama na mazingira yao mara nyingi ujisikii vizuri ukiona uharibifu wowote wa mazingira au mauaji/ukatili kwa viumbe hai.
10. Unajikuta wakati mwingi ukifurahia kulitizama anga nakustaajabia nyota, jua, mwezi n.k na unahisi kuna muunganiko fulani usioelezeka baina yako na vitu hivyo, unajaribu kudadisi nakutaka kujua mengi kuhusu mizunguko,uwepo na nguvu zake.
11.Unajikuta mara kadhaa ukijaribu kuunda au kujaribu kufanya uchawi pasipo kukusudia au kung'amua.
12. Waamini kuwa miujiza ni nguvu za ukweli, ambazo zinaweza kutumiwa kwa mazuri au mabaya itategemea na namna mtendaji wa miujiza hiyo atakavyoamua kuitumia.
13.Unaamini katika nguvu za kiakili (psychic power),mfano:-
*Claivoryance(uwezo wa kupata jumbe mbalimbali kupitia akili pasipo kuambiwa)
*Cleiraudience(uwezo wa kusikia sauti mbalimbali kupitia akili)
*Clairsentience(uwezo wa kuweza kuhisi nakujua pasipo kuona au kuambiwa) pia kuamini katika uwepo wa;
*Aura reading(hisia inayomzunguka kiumbe au kitu katika muundo wa rangi)
*Psychometry(uwezo wa kugundua ukweli kuhusu tukio au mtu kupitia kugusa kitu chenye mahusiano nacho)
*Telekinesis"mjongeo" au psychokinesis "nafsi" (ni uwezo wa mtu kuathiri mfumo halisi(kifizikia) bila ya kutangamana na uhalisia wenyewe) Mfano kutumia fikra kusogeza au kuvuta kitu n.k
*Preternatural(kufanya jambo nje ya uwezo wa kawaida au asili)
*Supernatural(uwepo wa nguvu isiyoweza elezeka kisayansi au kwa sheria za uhalisia(laws of nature))
*Divination(kitendo cha kutafuta maarifa ya mambo au hatima ya baadae au kupitia nguvu za supernatural)
Asante kwa kukosoa, na karibu uchangie mada jinsi ujuavyo kuhusiana na uchawi.Pale unapoamini uchawi ni kama wa kwenye muvi za harry potter.
Kwamba ni nguvu fulani u azaliwa nayo sivyo unavyodhani.
Hakika mkuuNadhani huyo ni Mimi kwa asilimia 100
Mkuu Harry Potter wanajifunza tu,Pale unapoamini uchawi ni kama wa kwenye muvi za harry potter.
Kwamba ni nguvu fulani u azaliwa nayo sivyo unavyodhani.
Daaa umenikumbusha mbali, sex nadhani ndicho kilichoniangusha sehemu kubwaNaomba nikujibu kulingana na kile ninachokiamini kwa upande wangu.
Binafsi nikiwa na kazi au napitia changamoto fulani ambazo ili nitatue nahitaji utulivu wa akili na uvumilivu katika kupata majibu kwa muda huo huwa sishiriki tendo hilo mpaka nitakapopata suluhisho la tatizo hilo au kukamilisha kazi husika.
Hii huwa inanisaidia kuongeza nguvu ya ndani yenye kunipa ustahimilivu na uwezo mzuri wa kutafakari kwa kina suala husika.
Sex na mtu mmoja impact yake huwa inategemeana na namna ya ushiriki katika tendo hilo, yaani ukiwa ni mtu wa kushiriki mara kwa mara bila kuupa mwili nafasi ya kupumzika inakudhohofisha ndani na nje pia, hivyo suala la kufanya na mmoja tu mara kwa mara nalo pia lina madhara yake na ndiyo maana wataalamu wanashauri kutokufanya tendo hilo kupita kiasi.
Chochote kile huwa kinaanzia ndani yako, hivyo ndani ukiwa mdhaifu automatically nje pia utakuwa mdhaifu, so lazima kujitunza.
Elewa namna ya ufanyaji kazi wa nguvu zako na ujue namna bora ya kuendana nazo kwa kutambua vichocheo vinavyoongeza au kupunguza nguvu hizo kutegemeana na wewe mhusika.
Hizo zoote unalizozitaja nimeshaziangalia muda sana mkuu lord of the rings nimecheki hadi spin-off yake inaitwa "the hobbit" kikubwa ile muvi ina concept tofauti sana ya uchawi mtunzi wa norvel zake late mr j.j.tolkien alijaribu kuchukua baadhi ya concept kwenye abramaic religions hasa christianity japo alipinga hili ila inaonekana dhahiri kwenye kitabu na movie .Mkuu Harry Potter wanajifunza tu,
Movies zinazo elezea hizo physic power, angalia
1.LUCY
2.X-MEN
3.X-MEN_The Last Stand
4.X-MEN_First Class
5.X-MEN_Apocalypse
6.X-MEN_Future Past
7.THE_MATRIX__zote
8.THE-6TH-SENCE
9.THE_GIFTED Series
10.GRIFT Series
11.MERLIN Series
12.LORLD_OF_THE_RING Series
(Hasa hiyo niliipenda pale Mr. Gandalf The Great amekwenda kumponya yule mfalme aliyekuwa ameugua kwa muda mrefu kwa maradhi ya kurogwa.)
Hizi Nguvu ni kweli zipo,
Kwaiyo una maanisha tusiduu?SWALI LA 1:-
Kipi sasa kifanyike ili nguvu hizi ziendelee kuwepo?..na jee? Zitatumika vipi?
Kwanza lazima utambue uwepo wa nguvu hizo mwilini mwako na uamini uwepo wake.
Kutambua uwepo wa nguvu hizo itakusaidia kujua wewe una uwezo gani wa kuzaliwa, ni karama gani uliyojaaliwa na Mungu hivyo kujua KWANINI nguvu hizo zipo kwako, na ukishaelewa sababu ya uwepo wa nguvu hizo hapo itakuwa rahisi kujua kwamba una uwezo wa kufanya vitu gani kupitia uwezo ulionao.
Je, uliwahi kuhisi uwepo wa nguvu hizo na kuamini kuwa unazo? Na je una karama gani inayoendana na nguvu hizo ?
Ukishapata majibu basi itakuwa rahisi kujua ufanye nini ili kutumia nguvu hizo kupata matokeo chanya.
Mfano:- Binafsi uwezo nilionao, nikifanya biashara huwa napata matokeo mazuri sana bila kujali ukubwa wa biashara husika, hii ni kwasababu ya uwezo wa kusoma na kutambua mawazo ya mteja na uhitaji, pia ubunifu katika yale ninayoyafanya, sasa nguvu hizi huwa zinatumika wakati wa kutafuta majibu ya maswali kama vile nifanye nini ili kuongeza wateja? Au ni biashara gani nifanye eneo husika yenye uhitaji.
Pia katika kuzungumza. Ninapoongea na wewe live huwa naweza kuamsha nguvu fulani ya ushawishi ili kukubaliana na kile ninachokitaka kutegemeana na matakwa yangu, yaani kufanya kile ninachotaka mimi.
Mifano ipo mingi ila chukua hiyo.
SWAKI LA 2:-
Kwa nini sex imekuwa kama nyenzo ya kuzimaliza nguvu za mtu??
Kwanza tambua, tendo la ndoa ni IBADA. Sex inahusisha ulimwengu wa roho na mwili pia. Manapokutana kimwili huwa kuna kuwa na muunganiko wa nafsi mbili tofauti, yaani ya kwako na ya huyo mwanamke/mwanaume uliye naye.
Nguvu hii huwa ipo ndani kwenye nafsi/roho ilipo, ambayo ni sawa na kusema ni ulimwengu wako wa kiroho.
Sasa unapokutana kimwili mnabadilishana baadhi ya vitu/nguvu katika ulimwengu wa kiroho na sehemu ya nguvu yako itaenda kwa mwanamke na sehemu ya nguvu ya mwanamke itakuingia wewe, sasa hapo itategemeana na kilichopo katika ulimwengu wa kiroho wa huyo mwanamke/mwanaume.
Kama ulishawahi kusikia wanawake wakisema kuna mwanaume ukilala naye mambo yako yanakuwa vizuri na kama in biashara siku hiyo utauza sana kuliko kawaida, au mwanaume unahisi ukikutana na fulani mambo yako huwa yanakuwa poa sana, sasa hii ni kutokana na kubadilishana zile nguvu wakati wa tendo.
Nguvu zako zinapungua kadiri ambavyo unazidi kufanya tendo hilo na watu wa aina tofautitofauti hivyo kupandikiza roho/nguvu za aina mbalimbali na kuvuruga ile nguvu yako halisi iliyokuwepo mwanzo maana kuna watu wana nguvu za ajabu zingine zikiwa nzuri na zingine zikiwa mbaya.
Tendo la ndoa ni AGANO linalofanyika baina yenu wawili, yaani mnafungamana kiroho na kimwili ndiyo maana kuoa bikra ni jambo jema kwa sababu mnafanya muunganiko bila uwepo wa nafsi/nguvu/roho zingine.
Mwanamke yeyote uliyefanya naye tendo la ndoa hata miaka kadhaa bila kukutana, siku mkionana ni rahisi sana kufanya naye tendo hilo bila hata kusumbuka, hii ni kwasababu spiritually you're connected.
Hakuna mwanamke anayeweza kumsahau mwanaume aliyemtoa bikra, na akitaka mchezo ni rahisi sana kupewa.
Ni somo pana na hata hawa dada zetu wanaoaumbuka kwenye ndoa leo kaolewa kesho kaachika, tatizo linaanziaga ndani kwenye nafsi/roho. Aina ya wanaume aliokutana nao walipandikiza vitu gani ndani yake. Wengi huwa wanaona haya ni kama mambo ya kawaida ila uhalisia wake ni tofauti kabisa.
Juma kakutoa bikra, baadae ukakutana na shabani, baadae Peter , wote hao wanaokuingilia au kuwaingilia unafanya nao maagano, sasa ukija kuolewa na Joseph, kumbuka nafsi ya Joseph pia inaongezeka na ukikutana na wale watu wako wa nyuma kinachofanyika ni kuamsha nafsi hizo hivyo kutoa mzigo inakuwa kazi nyepesi kabisa.
Sex ni kitendo cha kuungana kwa nafsi/roho/nguvu, yaani mnabadilishana hizo nguvu, sasa ukiwa ni mtu wa kufanya sana matokeo yake unavuruga nguvu zako halisi.
Kama kutakuwa na swali utauliza boss.
SWALI LA 3:-
-Jee kwa mtu mwenye imani ya Kikristo ataruhisiwa kufanya meditation
Meditation siyo dhambi na kuna aina mbalimbali za meditation kulingana na DHUMUNI LA WEWE KUFANYA meditation. Unapokuwa unasali tambua pale unafanya meditation.
Yaani uzuri na ubaya wa meditation huwa unategemea lengo lako haswa nini.
Kuna wanaofanya meditation kuita majini na viumbe vya ajabu, kuna wanaofanya meditation kutuliza akili na kupunguza stress, kuna wanaofanya meditation kuimarisha mzunguko wa damu na namna ya upumuaji.
Kiufupi meditation siyo mbaya kama una nia njema. Ila kama una nia mbaya lazima ujiandae kwa matokeo.
Fanya ila siyo kupita kiasi, na muelewe unaye duu naye ni mtu wa aina gani.Kwaiyo una maanisha tusiduu?
Kwenye sex kuna mengi sana mkuu sema wengi tunafikiria tu ile raha tunayopata ila hatufikiriagi madhara yake kwakuwa wengi hatuelewi the whole mechanism physically na spirituallyDaaa umenikumbusha mbali, sex nadhani ndicho kilichoniangusha sehemu kubwa
Nakumbuka kipindi Niko sekondari kila siku usiku nilkuwa napata taarifa zote za kesho shule Kama Kuna adhabu nilkuwa najua leo nitalambwa viboko,
Nakumbuka mpaka namaliza kidato cha nne sikuwahi kulala na mwanamke kabisa,
Sasa baada ya kuanza kulalana na Hawa viumbe ile situation ya kuota ndoto ya kujua kinachojiri kesho hakuna tena