Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 481
Hi ukiwa na rafiki yako na anajua kuwa unuka na akakuacha hivyo hivyo bila kukwambia kuwa unanuka atakuwa rafiki yako kweli. Let us be open and call SPADE is SPADE, come on dont kick around da bush! Story nying za nini? Mwambie tu aah mshikaji unanuka kikwapa na umsaidie ili aondokane na hiyo shida. Kama atachukia basi achukie lakini wewe utakuwa umemsaidia, na atakuwa mjinga wa mwisho kuchukia! Hivi ukiwa darasani mwalimu akuliza 2+2=? wewe ukajibu 6 halafu akakusifia kuwa umepata atakuwa amekusaidia?
Mpe kavu as long as ni mshikaji wako!
Mpe kavu as long as ni mshikaji wako!