Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 49,885
- 40,298
that's nice decision,๐ ๐ ๐ ngoja nikae kimya kama mada yangu inavyosema ewe ndugu mdau๐
na ni mwanzo mzuri wa tabia nzuri na njema mithili ya watu wakimya waerevu sana ๐
that's nice decision,๐ ๐ ๐ ngoja nikae kimya kama mada yangu inavyosema ewe ndugu mdau๐
My character has always been goodthat's nice decision,
na ni mwanzo mzuri wa tabia nzuri na njema mithili ya watu wakimya waerevu sana ๐
nakubariana na weweUkimya ni ile hali ya mtu kuwa mpole, mstaarabu na asiyependa makuu wala ugomvi na mtu, ni hali ya mtu kujiepusha kuchochea malumbano na mara nyingi huonyesha muhusika kuwa ni mtu wa hekima na nidhamu
Shukran sana karibu tenawakati Jeuri ni ni ile hali ya mtu kuwa mgomvi, mwenye kujiona ni bora na kuwadharau wengine na kuwatendea vibaya ni ile hali ya mtu kupenda malumbano, kutopenda amani na watu, mtu asiyependa kusikia maneno ya wengine kiufupi ni mtu mwenye kupenda shari
Ngoja tuone tutafanya niniNini kifanyike
Kwa mkutadha upi mkuu?kuishi na binadamu kazi ujue
inabidi ujue kuwa ni bora kuwa peke ako kuliko ukae na watu au mtu ambaye hamna interest katika kila kitu .unajua lazima ubague na kubagua sio kumtenga kujua huyu ninaongea naye nini ? .. mfano unakaa na watu wa dini au mpira simba na Yanga ..watakusaidia nini mawazo yao yameishia hapo tu ni sawa na kukaa na kichanga so ndio lazima ujitengeKwa mkutadha upi mkuu?
Karibu
inabidi ujue kuwa ni bora kuwa peke ako kuliko ukae na watu au mtu ambaye hamna interest katika kila kitu
Shukrani karibu tena ๐.unajua lazima ubague na kubagua sio kumtenga kujua huyu ninaongea naye nini ? .. mfano unakaa na watu wa dini au mpira simba na Yanga ..watakusaidia nini mawazo yao yameishia hapo tu ni sawa na kukaa na kichanga so ndio lazima ujitenge
GREAT MINDS DISCUSS GREAT IDEAS ....inabidi ujue kuwa ni bora kuwa peke ako kuliko ukae na watu au mtu ambaye hamna interest katika kila kitu .unajua lazima ubague na kubagua sio kumtenga kujua huyu ninaongea naye nini ? .. mfano unakaa na watu wa dini au mpira simba na Yanga ..watakusaidia nini mawazo yao yameishia hapo tu ni sawa na kukaa na kichanga so ndio lazima ujitenge
Hapana mimi nina mtazamo tofauti naamini hata uandike kiasi gani huwezi kueleweka au kukubarika kwa watu wote na hili sio tatizoGREAT MINDS DISCUSS GREAT IDEAS ....
Kuna mambo tunashindwa hata kuandika humu kwenye jukwaa kwa sababu wengi wao hawajui wala watakuona umechanganyikiwa ivyo ni bora ubaki kimya
Hapa nashindwa kuelewa una manisha ninitu halafu ujiandae kivyako vyako . huuu sio wakati wa siasa kama binadamu wangejua ooh kinachokuja kikubwa sana watu hawaoni majanga ya volcano matetemeko hawajui kuna kubwaye so utakaaje na mtu akili yake iko ndogo hutakiw kukaa naye ila inabid umfundishe .
๐๐๐Observe in silence, the less you speak ,the more you see!
Kila sehemu kuna Ishara lakini watu hawataki kuona wala kusikia mpaka mwisho so sio wakati wa jokes binadamu ujue wako busy na kufukuzana na panya wakati nyumba inashika Moto ...Hapana mimi nina mtazamo tofauti naamini hata uandike kiasi gani huwezi kueleweka au kukubarika kwa watu wote na hili sio tatizo
Lakini pia huwezi kukosa watu wa kuelewa mada yako na hata kunufaika na kuongeza ufahamu
Ushauri wangu : wewe ukipata chance andika kama unaona hilo jambo lina impact
Hapa nashindwa kuelewa una manisha nini
Ooh sawa mkuu asante sanaKila sehemu kuna Ishara lakini watu hawataki kuona wala kusikia mpaka mwisho so sio wakati wa jokes binadamu ujue wako busy na kufukuzana na panya wakati nyumba inashika Moto ...
Mtu asiyekuwa na jeuri huwa ana emotional intelligence, anakuwa anajua ni wakati gani asikilize na ni wakati gani azungumze, hata anapokuwa kimya sura yake inaonyesha utayari, ukimuuliza swali atakujibu kwa heshima hata kama ni ndiyo au hapana.Unaweza kutofautisha ukimya na ujeuri?
Huu ni mfano mzuri sana wa mtu jeuri.Kwa mfano, huwezi ukasalimiwa halafu ukaamua kukaa kimya, au ukaulizwa jambo ukawa unamtazama mtu bila kujibu,
Mtu mkimya huwa ni msikilizaji sana, siyo mzungumzaji, ni aina ya watu ambao huwa wanakuwa na data nyingi sana kwa sababu ya tabia yao ya kupenda kusikiliza kuliko kuzungumza.Ni Zipi faida hasa za kua mkimya sanaa?
Kama mtu ni mkimya anajiheshimu nitajisikia amani zaidi kuwa karibu naye lakini kama ukimya wake una harufu ya dharau lazima ataniboa tu.Una furahia ukiwa karibu na mtu mkimya sana au unakua bored?
Ujeuri haufai ๐.
ExactlyMtu asiyekuwa na jeuri huwa ana emotional intelligence, anakuwa anajua ni wakati gani asikilize na ni wakati gani azungumze, hata anapokuwa kimya sura yake inaonyesha utayari, ukimuuliza swali atakujibu kwa heshima hata kama ni ndiyo au hapana.
๐ ๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ค๐คJeuri yeye lengo lake huwa ni moja tu, kumuumiza au kumdhalilisha mwingine, hapa kuna dhana inaitwa power play yani mtu anatumia ukimya kama silaha ya kukuonyesha kuwa hustahili muda wake au wewe ni mdogo kuliko yeye
Ukifika hua siongezi nenoโฅ๏ธHuu ni mfano mzuri sana wa mtu jeuri.
Mtu mkimya huwa ni msikilizaji sana, siyo mzungumzaji, ni aina ya watu ambao huwa wanakuwa na data nyingi sana kwa sababu ya tabia yao ya kupenda kusikiliza kuliko kuzungumza.
Kuna msemo unasema " a closed mouth catches no flies" ukiwa na tabia ya kuwa mkimya utajiepusha na migogoro isiyokuwa na tija.
Hasara za ukimya zipo katika ulimwengu wa kijamii na kikazi, huku watu wataku judge kwa kile unacho kionyesha zaidi, ukimya unatakiwa kuwa na kipimo maana ukiwa mkimya sana, wapo ambao watakuona una kiburi, hujiamini au huna maarifa.
Me too nachukia kuongea na mtu anaishia kuniangalia tu hua nachukulia ni dharau mtu wa namna hii sipikwi chungu kimojaKama mtu ni mkimya anajiheshimu nitajisikia amani zaidi kuwa karibu naye lakini kama ukimya wake una harufu ya dharau lazima ataniboa tu.
Hakuna kitu kinaboa kama kuwa na mtu ambaye kila unachoongea anaishia kukuangalia kama vile wewe ni takataka kwenye mazingira yake.
Nakubaliana na wewe Mkuu, keep that same energy ,logic over emotions, always.Mtu sehemu inayotakiwa aongee basi aongee
Sehemu ya kukaa kimya akae kimya
Thank you Bro ๐๐๐
๐ค๐Nakubaliana na wewe Mkuu, keep that same energy ,logic over emotions, always.