Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,445
- 8,418
Hata kwa mtutu sisimami,kifo kije tu lakini kukitafuta No!
Nitakupeleka halafu tutasimama wote!
Na tukiteleza tunadondoka wote
Hao walosimama mbona hawadondoki? Ila kihoro chake unaweza ukajidondosha mwenyewe
View attachment 127716
Kama niliweza kumpanda huyu kiumbe nikaenda kula weekend yangu, sembuse kusimama hapo?
Nitakupakata mikononi mwangu ili nihakikishe hutelezi!
Na miguu yako imegandishwa na gundi gani muda huo?
Mi si kidume bana?
Siangukagi ovyoovyo!!
Sio hapo wewe!
Roho haina spare!!!!