Unaweza kusimama hapa?

Unaweza kusimama hapa?

aiseeeee babayangu hapo mi nasimama tena ukinipa na kikombe cha mbege mbona nitaona dunia yote ni yangu
 
if someone can do it, i can do it, if no one can do it, i must do it.
 
Ndoto zako za usiku unatulea hapa!

We unaweza kuendesha baiskeli sehemu kama hii?

unawezaaaaaaa.jpg
 
Nisimame hapo halafu wanipe nchi niwe rais ntakubali....
 
Back
Top Bottom