Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 553
- Thread starter
- #101
Duuh ayaaongeze kipato aache ufala
akiombwa tena hela jibu liwe kipato changu kidogo sina kitu
sema huyo jamaa ni wewe
Duuh ayaaongeze kipato aache ufala
akiombwa tena hela jibu liwe kipato changu kidogo sina kitu
sema huyo jamaa ni wewe
Sio mimi amini mshikaji wanguHata sio jamaa yako ni wewe mwenyewe Nickson, tafuta hela kipato chako kidogo ukiwa na hela utapata penzi mpaka uchoke wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106]Umeandika nn babu tuliaa andika Tena
Poa mkuuHamna issue hapo, ni kusepa tu. Kwani katumia shilingi ngapi so far?
SawA ma angu 😘Usihangaike naye dear 😂
Kumbe uliuliza swali jibu unalo
Hahahshsh pole sana kwa kuliwa pesa zako, ww na wale waliopigwa Kaylanda ni kitu kimoja, jipige jige kifua ujiambie mm ni fursa.Habari, poleni kwa majukumu. Mimi nina rafiki yangu huku kampenda dada, akaongea naye wakakubaliana. Ilihali imepita wiki tatu, rafiki yangu ilibidi aombe penzi, dada ana mtoto hivyo shida. Anamuambia jamaa naomba ela ya matumizi ya kula, kama kawaida anampatia, siijala.
Ila jamaa akimuita waonane waongee dada bado anampanga, kama anamkwepa jamaa. Kilichotokea dada kamwambia siku fulani, huku jamaa akijua watatoka pamoja, muda unakwenda kumbe kamlaghai dah.
Ilipofika siku hiyo dada kamwambia kipato chako kidogo, hivyo sitaweza kuwa na wewe na hujitoshelezi. Jamaa kabaki kwenye mshangao, hivyo ushauri unahitajika, ahsante ni hayo tu.
Unadhani mademu wanaopiga mizinga wanakuja ghetto kirahisi LovelovieNilikwambia kabisa ukipata dem wa hivo kama alikuomba laki mwambie tukutane sehem fulani nkupatie ukifika eneo la tukio andaa condoms za kutosha alaf mpelekeee motrooooo wa jehanum ukimaliza hapo mpe elf kumi mwambie nyingine jion ukitoka kupokea kodi ya nyumba.... Akitoka hapo mblock rudi kwako biashara imeisha
Duuh alaNmesema usimuite geto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtauwawa na mapenzi aloooBwana Nickson, pole sana. Huyo mwanamke muache tu, maana atakuua kwa stress, ona hata kuandika unapata kazi.
Ok[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtauwawa na mapenzi alooo
Atafute hela nyingi halafu ampe zote!Habari, poleni kwa majukumu. Mimi nina rafiki yangu huku kampenda dada, akaongea naye wakakubaliana. Ilihali imepita wiki tatu, rafiki yangu ilibidi aombe penzi, dada ana mtoto hivyo shida. Anamuambia jamaa naomba ela ya matumizi ya kula, kama kawaida anampatia, siijala.