Unaweza kumshauri jamaa yangu

Unaweza kumshauri jamaa yangu

Haina dili tofauti ya vyeti na maisha naamini kuna mtu aliyeacha shule ambaye kimaisha ukijilinganisha naye kuna tofauti licha ya kwenda Mlimani City vs un education mfano wapo Wana maisha mazuri kuliko nna mfano hai sio kuhadithiwa nilisoma na jamaa Arusha jina lake Fanuel Mollel aliacha shule drs la 7 saivi ana nyumba 4 boda boda kama zote na mavazi anayovaa yaan kama mtu aliyechoka kikubwa tuache madharau N.B sisemi kwa kuhadithiwa ,ila kikubwa kila mtu afocus na mind set yake aijalishi una lelimu kiasi gani ni hayo tu.
Mlimani city???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanawake sio watu wakuwaonea huruma kabisa, ila kwa baadhi tu, Kuna mmoja nae hivyohivyo, nilikuwa na nampa za lunch,Mara cake sijui ya birthday, juzi namuomba mzigo anasema nisubirie Hadi November 13, Cha ajabu yeye kunipiga mizinga alisubirii Hadi November
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Omera unafeli wapi jembe langu. kama kuna demu umempenda harafu unaogopa kumwambia. Tafuta rafiki yake au mama mjanja mwenye kigenge hapo mtaani. Ongea nae akuwekee Mambo Sawa. Wewe ni mwanaume demu anakwambia hufai na wewe unakubali. Acha hizo jembe. Wewe ni bonge la mtu Ila ongeza kujiamini. Usiogope.
Poa mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom