Unaweza kumshauri jamaa yangu

Unaweza kumshauri jamaa yangu

Habari, poleni kwa majukumu. Mimi nina rafiki yangu huku kampenda dada, akaongea naye wakakubaliana. Ilihali imepita wiki tatu, rafiki yangu ilibidi aombe penzi, dada ana mtoto hivyo shida. Anamuambia jamaa naomba ela ya matumizi ya kula, kama kawaida anampatia, siijala.

Ila jamaa akimuita waonane waongee dada bado anampanga, kama anamkwepa jamaa. Kilichotokea dada kamwambia siku fulani, huku jamaa akijua watatoka pamoja, muda unakwenda kumbe kamlaghai dah.

Ilipofika siku hiyo dada kamwambia kipato chako kidogo, hivyo sitaweza kuwa na wewe na hujitoshelezi. Jamaa kabaki kwenye mshangao, hivyo ushauri unahitajika, ahsante ni hayo tu.

Kwani ukisema ni wewe ndio umepigwa tukio utakufa?
 
Ushauri wa nini, kipato kidogo atafute wa size yake au atafute ela kipato kiongezeke baadae arudi tena kwa dada
 
Mchawi hapo Ni pesa,
Sema jamaa yako nae mshamba Sana,
Katumika Kama toilet paper afu katupwa kapuni

Alitakiwa amsome akili yake tangu mwanzo,afu amvizie akiwa na shida zake katingwa Ndo atumie nafas hiyo hiyo kumwambi aifate Ela.

Kisha amle mbususu na kisha kumblock pale pale.
 
aongeze kipato aache ufala

akiombwa tena hela jibu liwe kipato changu kidogo sina kitu

sema huyo jamaa ni wewe
 
Habari, poleni kwa majukumu. Mimi nina rafiki yangu huku kampenda dada, akaongea naye wakakubaliana. Ilihali imepita wiki tatu, rafiki yangu ilibidi aombe penzi, dada ana mtoto hivyo shida. Anamuambia jamaa naomba ela ya matumizi ya kula, kama kawaida anampatia, siijala.

Ila jamaa akimuita waonane waongee dada bado anampanga, kama anamkwepa jamaa. Kilichotokea dada kamwambia siku fulani, huku jamaa akijua watatoka pamoja, muda unakwenda kumbe kamlaghai dah.

Ilipofika siku hiyo dada kamwambia kipato chako kidogo, hivyo sitaweza kuwa na wewe na hujitoshelezi. Jamaa kabaki kwenye mshangao, hivyo ushauri unahitajika, ahsante ni hayo tu.
Hata sio jamaa yako ni wewe mwenyewe Nickson, tafuta hela kipato chako kidogo ukiwa na hela utapata penzi mpaka uchoke wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sisomi kwa sasa.
Bado amuamini si mwanafunzi mimi.
FB_IMG_1661777658607.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom