Habari, poleni kwa majukumu. Mimi nina rafiki yangu huku kampenda dada, akaongea naye wakakubaliana. Ilihali imepita wiki tatu, rafiki yangu ilibidi aombe penzi, dada ana mtoto hivyo shida. Anamuambia jamaa naomba ela ya matumizi ya kula, kama kawaida anampatia, siijala.
Ila jamaa akimuita waonane waongee dada bado anampanga, kama anamkwepa jamaa. Kilichotokea dada kamwambia siku fulani, huku jamaa akijua watatoka pamoja, muda unakwenda kumbe kamlaghai dah.
Ilipofika siku hiyo dada kamwambia kipato chako kidogo, hivyo sitaweza kuwa na wewe na hujitoshelezi. Jamaa kabaki kwenye mshangao, hivyo ushauri unahitajika, ahsante ni hayo tu.