T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,126
- 30,573
KelseaMwambie asonge mbele.
KelseaMwambie asonge mbele.
Tunataka mademu waelewa kama weweMadem wapo wengi wakali.... Na wanautelezi wa kutosha mnahangaika na jiko la jela kilaukuni unaingia jiko lishakua kavu hata ulimwagie maji haliloani
Pamoja sana kwa ujumbe wako.Mchawi hapo Ni pesa,
Sema jamaa yako nae mshamba Sana,
Katumika Kama toilet paper afu katupwa kapuni
Alitakiwa amsome akili yake tangu mwanzo,afu amvizie akiwa na shida zake katingwa Ndo atumie nafas hiyo hiyo kumwambi aifate Ela.
Kisha amle mbususu na kisha kumblock pale pale.
Kinachouma mwanetu kachunwa halafu ndo anaambiwa kipato chake hakitoshi 🤣🤣🤣Ushauri wa nini, kipato kidogo atafute wa size yake au atafute ela kipato kiongezeke baadae arudi tena kwa dada
Nimekuelewa ujumbe wako mzito.Madem wapo wengi wakali.... Na wanautelezi wa kutosha mnahangaika na jiko la jela kilaukuni unaingia jiko lishakua kavu hata ulimwagie maji haliloani
😂😂😂Wapo wengi mnoTunataka mademu waelewa kama wewe
Degree mbona saivi haina dealNani ambaye umeskia mwanafunzi afu acha dharau nakushauri tu kuna watu Wana degree zao humu na wametulia na wanajibu kiustaarabu.
Asante 😊Nimekuelewa ujumbe wako mzito.
Waambieni wenzenu wapunguze vizinga basi😂😂😂Wapo wengi mno
Ladies and gentlemen, we have another Don Namilson in townBado amuamini si mwanafunzi mimi.View attachment 2391762
Pole Sana omera. Mademu wazuri wanao kupenda Wapo wengi Sana mtaani.Bado amuamini si mwanafunzi mimi.View attachment 2391762
Haina dili tofauti ya vyeti na maisha naamini kuna mtu aliyeacha shule ambaye kimaisha ukijilinganisha naye kuna tofauti licha ya kwenda chuo kikuu Dar es salaam vs wasiosoma mfano wapo wana maisha mazuri kuliko nna mfano hai sio kuhadithiwa nilisoma na jamaa Arusha jina lake Fanuel Mollel aliacha shule drs la 7 saivi ana nyumba 4 boda boda kama zote na mavazi anayovaa yaan kama mtu aliyechoka kikubwa tuache madharau N.B sisemi kwa kuhadithiwa ,ila kikubwa kila mtu afocus na mind set yake aijalishi una lelimu kiasi gani ni hayo tu.Degree mbona saivi haina deal
Nilikwambia kabisa ukipata dem wa hivo kama alikuomba laki mwambie tukutane sehem fulani nkupatie ukifika eneo la tukio andaa condoms za kutosha alaf mpelekeee motrooooo wa jehanum ukimaliza hapo mpe elf kumi mwambie nyingine jion ukitoka kupokea kodi ya nyumba.... Akitoka hapo mblock rudi kwako biashara imeishaWaambieni wenzenu wapunguze vizinga basi
Poa ntapambana ila sio mimi.Najua ni wewe cha kufanya pambana ujitosheleze
Mtaani ukimfuata anasema hufai.Pole Sana omera. Mademu wazuri wanao kupenda Wapo wengi Sana mtaani.
Wazo zuri aisee.Nilikwambia kabisa ukipata dem wa hivo kama alikuomba laki mwambie tukutane sehem fulani nkupatie ukifika eneo la tukio andaa condoms za kutosha alaf mpelekeee motrooooo wa jehanum ukimaliza hapo mpe elf kumi mwambie nyingine jion ukitoka kupokea kodi ya nyumba.... Akitoka hapo mblock rudi kwako biashara imeisha
Lovelovie nimetokea kukubali sana, hiko kitombo cha moto wa Jehanam sipatii picha asee. Saivi ni mwendo wa njoo uifuate pesa magetoni au lodge akija tu moto🔥🔥🔥Nilikwambia kabisa ukipata dem wa hivo kama alikuomba laki mwambie tukutane sehem fulani nkupatie ukifika eneo la tukio andaa condoms za kutosha alaf mpelekeee motrooooo wa jehanum ukimaliza hapo mpe elf kumi mwambie nyingine jion ukitoka kupokea kodi ya nyumba.... Akitoka hapo mblock rudi kwako biashara imeisha
Ely, uko poa my friend??