Unaweza kufanikisha?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unaweza kufanikisha?!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mbaga Michael, Mar 31, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Ntawezaje kupata kazi yenye
  kudumisha utu wangu,
  kuwatunza wazazi wangu, na
  kuwasaidia ndg zangu wakati
  sikubahati hata kumaliza elimu
  yangu ya sekondari? Sina kazi
  natafuta kazi tafadhari nisaidie leo nawe kesho waweza kusaidiwa, wewe, mwanao au nduguyo kama
  kuna mtu anaweza kuniwezesha
  tuwasiliane kupitia simu namba
  0685234854 tuma sms. Ahsante
   
 2. D

  Dotto Joseph New Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza pole sana, labda pengine unaujuz gani?
   
 3. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  ujuzi wako ndugu ungeuufafanua pia
   
Loading...