Kilibambaga sana kile aisee...Aisee, nampa 100/%. Ananikumbusha kipindi cha Pimp My Ride cha Xzibit
Ipo mkoa gani hii machine ?Mambo ya ndugu yangu ngosho hayo..
He is the baddest. Kampiku mpaka rapha wa capital zote kwa haya majafanja aloweka hapa.
Huyo mwamba ni nyokooo mwambie hivyo ... over
Kinoma mkuuKilibambaga sana kile aisee...
Mambo ya ndugu yangu ngosho hayo..
He is the baddest. Kampiku mpaka rapha wa capital zote kwa haya majafanja aloweka hapa.
Mmmmh hii gari ni kama ya rafiki yangu Riziki Kateya wa Arusha!