Unawapa Marks ngapi hawa waliobadirisha hii gari?

Unawapa Marks ngapi hawa waliobadirisha hii gari?

Hiv hapa town napata wap huduma kama hii nataka nikakifumue fumue ndan ki spacio old model changu maana nakipenda sana
 
Da nimeikubali ,inaunguruma kibabe sana,sasa sijajua speed yake ikoje
 
Back
Top Bottom