Unawapa Marks ngapi hawa waliobadirisha hii gari?

The Bleiz

JF-Expert Member
Jan 7, 2012
5,062
13,461
Mando ya miaka ya 50 kama sio 60.

IMG_20210604_091841.jpg
IMG_20210604_105144.jpg
 
Huyo jamaa ni mtalaamu sana,nimemkubali sana,anaonekana siyo wa kubahatisha.Pale Buguruni kisiwani kuna mzee mmoja wa kigweno mweupe hivi anayashughulikiaga hayo 109 nadhani wakifanya ko kolabo wanaweza wakatisha sana
 
Mkuu Bleiz, ndio chombo yenyewe nini? imepata likes za kutosha kule facebook alipoitwika Riziki!
 
Back
Top Bottom