NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,920
Halafu fundi wa kisambaa sasa!!Wafanye tu mchakato wa kubadilisha kabla ligi haijaanza. Mbunifu wa hizo jezi amezingua. Yaani batiki siyo batiki! Hayo mabukta utafikiri yameshonwa na fundi nguo wa pale Mafiati! Kwa kweli anastahili kupata 1/10