Unawapa alama ngapi Mbeya City kwa jezi zao?

Unawapa alama ngapi Mbeya City kwa jezi zao?

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,103
Reaction score
9,588
Chini ya 10 ungewapa alama ngapi akina mwaisa kwenye jezi zao?
IMG_7825.jpeg
 
Wafanye tu mchakato wa kubadilisha kabla ligi haijaanza. Mbunifu wa hizo jezi amezingua. Yaani batiki siyo batiki! Hayo mabukta utafikiri yameshonwa na fundi nguo Gwamaka Mwakipesile wa pale Mafiati! Kwa kweli anastahili kupata 1/10
 
Back
Top Bottom