Unavyokuja ndio unavyopokelewa kitambaa cheupe.

Unavyokuja ndio unavyopokelewa kitambaa cheupe.

Kwangu ndio kigezo nambari uno!
Seran nimeshuhudia wanawake wengi wakiteseka na mapenzi, nimeona jins wanavo dhalilishwa na wenza wao, inasikitisha sana, nadhani shida inaanzia hapo upendo kua si kigezo kikuu na hapo ndio wanawake wengi hufeli, unakuta mwanamke baadae anabadilikiwa na me, hapo ndio kasheshe huanzia hapo, anyway upo sahihi ishi vyenye moyo unapenda japo mi bado naimani unalenga mambo ya financial labda japo Sina hakika
 
Hapana kawaida ni maisha tu ya kujichanganya, alafu unajua seran zamani nilitaka nikutongoze, nikawa nakuogopa nilijua ni mama makubwa, sasa leo kwenye post ya ommy dimpozy ndio nimegundua we bado sana, kama kkipindi oMmy dimpozy ana toka we ulikua o level basi we bado mdogo sana na tunaendana kama vipi nifikirie
Kwahiyo dalali anaitwa da Shakira
 
Ndio lakini sio kama nilivo kufikiria mwanzo, kua ni mama ka dkt gwajima alivo ni mtu mzima haswa, ila kama hata unayo sema ni ya kweli basi seran we bado kumbe Nina kuoa bila shida kabisa labda wewe uamue tu kunidharau, watu wakumbwa ni kama faiz foxy hao ni wakumbwa sana ila kwa hizo takwinu zako basi uwezo wa kukuoa upo kabisa na tukaendana bila shida labda uwe na sababu zingine
hahahaha,kumbe Seran ni mtu mzima kama Dr Gwajima? aiseee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom