Sijawahi kikutana na huyu Dada, ila nakumbuka tokea enzi za fastjet, mpaka ki grocery kwenye frame moja pale tabata, mpaka baa kubwa, Tabata, sinza na mbagala,
Mara kuna ile microfinance, mara ile biashara ya Real estate na kadhalika.
Sijui ila kimpangia mtu maisha sio vyema nadhani huyu Dada...
Mwanamuziki wa Bongofleva, T.I.D (Khalid Mohamed), kupitia ofisi ya mawakili wake wanaomsimamia masuala yake yote ya kisheria, ametoa notisi ya siku saba (7) akiidai Bar ya Kitambaa Cheupe, kupitia Mkurugenzi wake Jessica Kikumbi, kulipa fidia ya Sh500 milioni.
Katika notisi hiyo, T.I.D pia...
Mwanamuziki TID amekanusha vikali madai ya kushindwa kulipa bili ya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe, Tabata.
Amedai sakata hilo lilopelekea kukamatwa na Polisi, ulikuwa mpango wa kumchafua.
TID ameeleza kama kweli alikuwa anadaiwa, basi wangekata deni lao katika fedha...
Wakazi wa Mbweni JKT Tunamuomba Dada Jesca Kikumbi Kufikiria Kufungua Kitambaa Cheupe Huku Kwetu
Kwa miaka ya hivi karibuni, biashara ya Kitambaa Cheupe chini ya uongozi wa Dada Jesca Kikumbi imekuwa moja ya brand zilizofanikiwa kujijengea jina kubwa kwenye sekta ya burudani na huduma za...
Wakuu,
Nasikitishwa sana na hiki nilichokiona hapa kwenye hii barabara ndogo ya Segesela Street hapa Sinza, ni kamtaa fulani kanaanzia hapa Mlimani City kuelekea Kitambaa Cheupe.
Hii barabara ni mpya na ilikuwa inajengwa na Wachina, imejengwa kwa zege, of course ni kitu kizuri lakini baada ya...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewaagiza Watanzania kulinda amani ya nchi, hususan leo Oktoba 29, 2025, wakati wa zoezi la kupiga kura, akisisitiza kuwa migogoro ya kisiasa inaweza kuathiri sana uchumi na shughuli nyingine za Taifa.
Akizungumza katika eneo la “Kitambaa...
Yaliyojiri siku za karibuni, Kuna taarifa kwamba mama yake Hamisa Mobeto ambae ni Mama Mobetto amemnyakua bwana/ mume wa boss wa kitambaa cheupe Jesca Kikumbi.
Kufuatia mnyakuo huo bi Jesca amedata na kwenda vacation huko Serengeti, Huku akionyesha mwili wake mzuri kwa mavazi ya kuogelea, kitu...
Mimi sio mkazi wa Daslam lakini wenye mji wao kwenye mitandao ya kijamii wanasema hapo Masakuu Mbagala Kuna laana isiyo ya kawaida kitambaa cheupe irudi darasani kwanza.
Wanasema watu wanakulana mubashara wa kushangza !!
Wenye mji wenu Je Kuna ukweli wowote ule?
Location yake hii hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.