Kweli nimeamin ukichaa sio tu kupungua kwa maakili.....huyu kichaa inaonekana maakili yamemzidi....ahahahhah...thnks kiongozi.Kichaa alikuwa amevaa miwani jicho likawa linamuwasha. Alipokuwa akijikuna akawa anakuna juu ya miwani ndipo dada mmoja akamuambia si uvue hiyo miwani ndio ujikune? Yule kichaa akamuambia "Hebu niache huko,kwani wewe ukitaka kujikuna **** unavua chupi?"