Unatumia sabuni gani kuogea?

Nyeto, Ayu ilifaa sana
Kufulia, komesha, komoa, kifulaa, ariel,


Sa sasa ivi kuna sabuni flani nyeusi tii inauzwa jero,
 
Zipo natumia hizo na familia yangu miaka yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu niliwakuta wakisema chanzo cha fungus nyingi za wanawake ni sabuni za kutengeneza za wajasiriamali. Sio salama maana hawana vipimo maalumu vya kemikali na inaua bakteria wazuri na kuleta fungus. I was shocked.
 
nilikua natumia mshindi/foma sasa nime upgrade natumia jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…