Unatumia sabuni gani kuogea?

Unatumia sabuni gani kuogea?

Mimi nilikuwa nakaa kwa uncle ni wealthiest person Ila mambo ambayo sabuni ilikuwa ni jamaa 😁 so nilijifunza kuwa masikini ndo wanahangaika kutakatisha ngozi kwakuwa everything is uncertainty
🤣🤣🤣🤣 Dr unashambulia vizuri ukitokea pembeni🤣 Sisi na jamaa ni damu damu ndoa ya kirumi, mpka team wajasiliamali wa Sido waishe.
 
🤣🤣🤣🤣 Dr unashambulia vizuri ukitokea pembeni🤣 Sisi na jamaa ni damu damu ndoa ya kirumi, mpka team wajasiliamali wa Sido waishe.
😁😁😁 Ahaaa .

Unajua wakati nakaa Bukoba Nyumbani ilikuepo sabuni ya kuogea , ya kufulia na kuoshea vyombo.

Ila maisha yetu yalikuwa ya kawaida

So nilipofika DSM kwa uncle , the guy is wealthiest person Ila alikuwa akioga Jamaa , kufulia jamaa, na kuoshea vyombo and life was great .

So mambo mengi na maamuzi tunayofanya masikini hayana tija and I learn from there kuwa kuitunza ngozi sio sabuni bali , Chakula kizuri, matunda , maji safi ya kutosha na kutopigwa na jua muda mwingi .
 
Kumbe ndani ya jiji ulifikia Kwa mjomba,hongera sana mkuu
 
Imperial ya sahiv tofauti sana na zamani, zamani mtu anaogea hiyo sabuni Hadi nje mnaisikia siku hizi ukimaliza TU kuoga harufu nayo inaishia huko huko bafuni
Tena ya zamani ilikuwa kama ina mafuta kabisa, kipindi nasoma primary nilikuwa naenda shule na imperial, basi nikiishiwa mafuta napaka povu la sabuni na unang'aa kama umepaka mafuta tuu.
Vitu vingi vya zamani na sasa hivi vinatofautiana ubora mno.
 
Back
Top Bottom