Unatumia mbinu gani usipigwe na mafundi kwenye ujenzi?

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,665
3,310
Kuna wanaoshinda kutwa nzima na mafundi apo saiti wakifatilia kila kinachoendelea lengo ni kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa. Mbinu hii inataka uvumilivu mkubwa maana kushinda tu sehem nayo ina changamoto zake na inabidi uache kazi zako zingine zote uweze kuwepo apo saiti muda wote.

Wengine wanatumia masupavaiza au waangalizi japo na yenyewe ina risk zake maana uyo naye ni binadam bado kuna risk ya kupigwa.

Je ww unayejenga unatumia MBINU gani kuzuia usipigwe kwenye izi kazi za ujenzi?
 
Kusimama site bila kuwa na idea ya ujenzi ni sawa na Bure mfano unakuwa site wakati wa setting ya msingi adi unakamilisha kuakikisha vipimo viko sawa unaacha wanaoendelea unaludi wakati wa nyumba imefika madilisha kuakiki vipimo Kwa madirisha then wakati wa kufunga lenta unakuwa nao sambamba kuhusu kukuibia inategemeana na fundi mkuu kama ajielewi bas imekula kwako
 
Una kitu ila kukifikisha ueleweke inaleta shida kidogo.
 
fundi mwenyewe tu aamue kutokukupiga, ila akitaka, atakuibia wala hutajua. niliibiwa sementi na nondo sana. recently kwenye bati akapiga mahesabu ya extra bati kama 18 hivi, siku mbili za kuezeka sikwenda popote, nilikaa pale pale site wanapokata kila bati naangalia, hata chakula waliniletea, zikabaki bati kama 18 hivi tena za hawa sunbank, bati nzuri kabisa. nikaita kirikuu nikaondoka nazo hadi home. hawakuamini macho yao. imagine bati hizi zote, nategemea kujengea servant quater pembeni yake soon. na zitatosha kwasababu ni ndefu.
 
Inategemea mnajenga nini ila kwa sisi wa vibanda fundi sijui ataniibia nini maana material napeleka site kidogokidogo kama cement mifuko kwa siku kama miwili ndo hiyo inayoenda ikifika huko kwenye finishing hivyohivyo na nakuwa naenda kwa kushtukiza napiga chabo kidogo then nasepa
 
Hapo unaweza kupona.. Kuna wale yuko na pesa yote ya ujenzi halafu hajui chochote kuhusu ujenzi, mbaya zaidi muda wa kukaa site hana
 
fundi mwenyewe tu aamue kutokukupiga, ila akitaka, atakuibia wala hutajua. niliibiwa sementi na nondo sana. recently kwenye bati akapiga mahesabu ya extra bati kama 18 hivi, siku mbili za kuezeka sikwenda popote, nilikaa pale pale site wanapokata kila bati naangalia, hata chakula waliniletea, zikabaki bati kama 18 hivi tena za hawa sunbank, bati nzuri kabisa. nikaita kirikuu nikaondoka nazo hadi home. hawakuamini macho yao. imagine bati hizi zote, nategemea kujengea servant quater pembeni yake soon. na zitatosha kwasababu ni ndefu.
Kuna fundi anaanza kukuibia kuanzia dukani mnanunua materials, anawaseti mapema kabisa jamaa wadukani..
 
nilichofanya, bati nilienda mwenyewe bila fundi kujua naenda kiwanda gani, mbao nilienda mwenyewe wakaweka dawa nipo hapo na kupakia na kuzipeleka site, misumari na vifaa vyote nilinunua. nikawapelekea, na sikutoka hadi nyumba imeezekwa, napiga doria miguu iliuma siku hizo mbili manake muda wote nipo wima, nazunguka nyumba na kurudi pale kwenye vifaa, na mimi ndio nawagawia vifaa wanapotumia. niliwaambia tu ukweli kuwa huwa siwaamini mafundi, hivyo walinisamehe nadhani kwamba jamaa hatuamini lakini ni haki yake kutokutuamini mwacheni tu. hadi misumari iliyobaki niliondoka nayo.
 
Uliwaweza aisee sio wote wenye kukaba Hadi penati
 
Naomba nikuambie ulikutana na fundi kilaza, kuna mafundi ukimwekea ulinzi mkali ndio anakuibia

Niliwahi kupita huko 60% ya maboss hawavijui vifaa vya ujenzi kwa majina hasa hasa vya finishing

Mm nakuagizia tu vingi ukienda mwenyewe dukani ukaniletea navikataa kuwa havifai au ni vibovu urudishe, kwanza hapo nakukomoa ujuaji wako nikuingize gharama

Ukileta tena mwenyewe kwenye duka unalolijua wewe nakataa vile vile na bahati nzuri mm nilikuwa ni fundi ambae nina maisha mengine nje na ufundi hivyo sikuwa na njaa

Kuna mda umeshanipa advance hata kazi yako nmeifanya robo ukiendelea kuzingua na kazi yako naikataa nakwambia tafuta fundi mwingine mm staki niharibu kazi (nitaharibu jina langu kwa material mabovu unayoniletea) kuna vitu fake kibao kwanini tusiende wote kununua

Yaani mimi nilikuwa naenda site na gari maboss wengine wanakuja kwa mguu au boda boda kisha wasiniamini sasa hizo si zarau

Ukitaka usiibiwe tafuta pesa kwanza mlipe vzr fundi ni fundi mjinga pekee anaweza lipwa vizuri then akaiba
 
Tafuta fundi mzuri na mzoefu wa kazi
Mlipe fundi bei nzuri usimlalie mno ujue hatamaliza kazi, mlipe hesabu kwa kutwa yeye na kibarua wake au kazi yote jumla kwa makubaliano ya kimkataba jinsi anavyotaka.
Usimcheleweshea malipo au kumnyima pesa kulingana na kazi aliyofanya
Andika kamkataba kadogo asaini akikikimbia uwe na ushahidi wa kumdai popote
Nunua vifaa mwenyewe.
uwe na idea ya mambo ya ujenzi na ruhusu ushauri wake mzuri
Akuandkie mahitaji yeye mwenyewe ila kununua nenda mwenyewe au nenda naye kwa vitu technical duka lako unalolichagua.
Simamia mwenyewe mwanzo mwisho na kagua kazi yake mlivyokubaliana
Hizi kanuni angalau zinasaidia kidogo
 
Naomba nikuambie ulikutana na fundi kilaza, kuna mafundi ukimwekea ulinzi mkali ndio anakuibia

Niliwahi kupita huko 60% ya maboss hawavijui vifaa vya ujenzi kwa majina hasa hasa vya finishing

Mm nakuagizia tu vingi ukienda mwenyewe dukani ukaniletea navikataa kuwa havifai au ni vibovu urudishe, kwanza hapo nakukomoa ujuaji wako nikuingize gharama

Ukileta tena mwenyewe kwenye duka unalolijua wewe nakataa vile vile na bahati nzuri mm nilikuwa ni fundi ambae nina maisha mengine nje na ufundi hivyo sikuwa na njaa

Kuna mda umeshanipa advance hata kazi yako nmeifanya robo ukiendelea kuzingua na kazi yako naikataa nakwambia tafuta fundi mwingine mm staki niharibu kazi (nitaharibu jina langu kwa material mabovu unayoniletea) kuna vitu fake kibao kwanini tusiende wote kununua

Yaani mimi nilikuwa naenda site na gari maboss wengine wanakuja kwa mguu au boda boda kisha wasiniamini sasa hizo si zarau

Ukitaka usiibiwe tafuta pesa kwanza mlipe vzr fundi ni fundi mjinga pekee anaweza lipwa vizuri then akaiba
Ulikuwa unatengeneza maini na mioyo nini? Yaani huo usumbufu Bado TU nakuvumilia, labda uwe unanifanyia bure
 
fundi mwenyewe tu aamue kutokukupiga, ila akitaka, atakuibia wala hutajua. niliibiwa sementi na nondo sana. recently kwenye bati akapiga mahesabu ya extra bati kama 18 hivi, siku mbili za kuezeka sikwenda popote, nilikaa pale pale site wanapokata kila bati naangalia, hata chakula waliniletea, zikabaki bati kama 18 hivi tena za hawa sunbank, bati nzuri kabisa. nikaita kirikuu nikaondoka nazo hadi home. hawakuamini macho yao. imagine bati hizi zote, nategemea kujengea servant quater pembeni yake soon. na zitatosha kwasababu ni ndefu.
Baada ya hizo bati kubaki, wao mafundi walisemaje ilihali .makadirio waliyokupa zilitakiwa ziishe
 
Kupigwa ni hulka tu ya kibinadamu na hii siyo kwenye ujenzi tu ni katika kila sekta
Binadamu wanapenda kujilimbikizia mali na kupata zaidi ya kile wakipatacho.

Usijenge hofu sana kuhusu kupigwa
Ushauri wangu, mtafute mtaalamu wa masuala ya ujenzi awe ni Mtaalamu aliyebobea (professional) mlipe ela ya usimamizi yeye mkabidhi akusaidie kusimamia

Wataalamu wana maadili kidogo (japo siyo wote wengine huongozwa na hulka zao za kibinadamu) akisimamia kwa kuzingatia maadili ya kazi yake utakua umeokoa sana kupigwa na kuzingatia ubora wa kazi yako.
 
Back
Top Bottom