PostGE2025 Unatumia Mabavu na Kumwaga Damu za Watanzania Wanaodai Haki Kisha Baada ya Kujipatia Madaraka Kwa Damu unarudi kusema Amani Itawale, Ya nini?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,146
Reaction score
6,008
Kabla hata ya uchaguzi CCM walishaambiwa na madai ya watanzania yalikuwa wazi na wimbo ulikuwa mmoja, HAKI HAKI HAKI HAKI

Pamoja na kelele hizo CCM kwa uchu na tamaa ya madaraka wakalazimisha kujitwalia Madaraka kimabavu ikibidi hata kwa kumwaga damu, na ndicho kilichotokea.

Baada ya mauaji na kujivika taji la damu sasa wanarejea kuuliza nini kilitokea, Seriously?
 
Mwiba hutokea ulipoingilia.

Hawakuingia madarakani ki demokrasia hawawezi kutoka ki demokrasia bali nguvu ya umma.

Lugha wanayoielewa ni vurugu, kuchoma magari na mali zao ccm na polisi wao na kuua.

Nasi tuzungumze lugha yao kwa sauti kubwa ili watusikie na kutuelewa.

Tukutane D9 na kuendelea.
 
IMG-20251120-WA0046.jpg
 
Makunyanzi yako na ya mama yako aliekutuma yanatobolewa.. mfikishie salamu
Poa zimefika...vipi ya D9 ni bajeti nyingine? Au ni mzigo ule ule tunakiwasha mara mbili? Kwa hiyo tunalipa deni la watu.....
 
Ukweli huuma sana....ndo maana mnatoa matusi mkiambiwa ukweli
Achana na mambo ya kusikia wewe fala.. show me your evidence and I swear I will show you mine.. acheni uchawa wa kimalaya malaya nyie green guards janjaweed mbwa nyie
 
Nani green guard? Bwana mdogo hizo levo za siasa njaa na uchwara uchwara tuliziacha kipindi tunaanzisha kunji pale UDSM.....sasa hivi tunataka tuishi Kwa Amani na familia zetu ...siyo mijitu mivivu michache mlipwe hela kwenye vi. NGO vya kihomosexual homosexually mtuharibie Amani yetu.
 
Wewe nimekwambia show me your evidence sio unabwabwaja tu ovyo na huku huna ushahidi... onyesha ushahidi huna pita kushoto usiniquote tena
 
Nani green guard? Bwana mdogo hizo levo za siasa njaa na uchwara uchwara tuliziacha kipindi tunaanzisha kunji pale UDSM.....sasa hivi tunataka tuishi Kwa Amani na familia zetu ...siyo mijitu mivivu michache mlipwe hela kwenye vi. NGO vya kihomosexual homosexually mtuharibie Amani yetu.
Mwandiko gani huu ?

Kama huu mwandiko ni WA mtu aliyesoma UDsm basi kimepoteza hadhi yake kabisa.

Au wewe ndo kichwa kizito.
 
Back
Top Bottom