Unatumia CONDOM ya aina gani isiyokupa karaha?

Hahhhhhaa zinakera hata mi ni mfuasi wa nyama nyama kwani tutafikisha miaka miaa bwana!!

Aiseee! Kwahiyo watu hawaogopi magonjwa kabisa kwenye michepuko? Au wanajitetea hapa ili wenza wao wasi washitukie?
 
Fungukeni wandugu ili tusaidiane, hapa nahc watu wanaogopa maswali kwa wake zao maana ataulizwa unatumia na nani? Hahahaha... Nimegundua, i put this thread into wrong direction. Ctopata jibu. Hamna hata watu wa pharmacy?
 
Mimi natumia Power Play ni nzuri sana wala haina mafuta mengi..jaribu utaniambia.
 
Aiseee! Kwahiyo watu hawaogopi magonjwa kabisa kwenye michepuko? Au wanajitetea hapa ili wenza wao wasi washitukie?

Hapa baba ni za kwako changanya na za kusoma humu JF!! Jaribu tukakuzike...!! Kifo hakina rewind ohooo...!!
 
Mimi natumia Power Play ni nzuri sana wala haina mafuta mengi..jaribu utaniambia.

dah! Hii itabd niitafute tu tena kwenye pharmacy kubwa coz hata jina Power Play, it sounds to be fantastic
 
Kondomu ya nini mkuu,utawezaje kula sukari au asali ndani ya plastic?kama hujamuachia mwanamke s h ahawa utajisifiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…