Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,119
- 49,492
Nipo mama, siku izi nipo shamba Kibaha.
Nina jambo zito, naweza kuja inbox?
Nipo mama, siku izi nipo shamba Kibaha.
Njoo mama. Anytime. Leo na kesho nipo Kariakoo.Nina jambo zito, naweza kuja inbox?
Mie sijawa na kiuhalaza kamili ila naona kwa mbaaali kama nywele za kati zinachelewa kwrnda sambamba na za pembeni....jee ndo nanyemelewa na uhalaza??!Piga 0769302206
Morogoro WhatsApp 0625249605.
Kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kutumia ninaweza kukuelekeza kwani aijuwi hata kama Lina Morogoro anajuwa kuwa inasaidia pia haya matatizo ya nywele.
Kama hautopata kwa Lina Morogoro, basi wasiliana na mume wangu, Mzee Abdul 0756803528 atafanya njia ya kukutumia kwa mabasi yeye yupo Dar.
Mengine mengi yapi Bi Zainab hebu tugusie kidogo,vipi yule mwanao aliyekuwa na walaza sasa umepotea kabisa?Ni nzuri sana ijaribu kaka.
Inasaidia mambo mingi si walaza tu.
Kabisa, sema hayupo Tanzania kwa sasa na uko alipo alichukua kidogo amenambia nikipata mtu nimtumie aendeleze.Mengine mengi yapi Bi Zainab hebu tugusie kidogo,vipi yule mwanao aliyekuwa na walaza sasa umepotea kabisa?
Piga 0769302206 Tanga tunakusafirishia kwa basi. Gharama za usafiri juu yako.Na mimi niliyepo tanga naipataje? Shida yangu ni nywele za mbele zinapungua na kuwa kipara,naomba kujua bei yake na jinsi inavyofanya kazi
Masha Allah hongera zenu sana.Kabisa, sema hayupo Tanzania kwa sasa na uko alipo alichukua kidogo amenambia nikipata mtu nimtumie aendeleze.
Tatizo sisi tunaishi shamba huku na umri nao umeenda ni wastaafu. Tungefurahi sana vijana muikimbilie hii fursa na kufanya ubunifu wenu. Karibuni sana.dawa hiyo ingekuwa inatibu now angekuwa billgates
Basi wewe haikukufaa. Ulinunua shillingi ngapi baba tukurudishie pesa zako.Nilijipakaga makopo matatu yakaisha bila mafanikio nikaachana nao. Tena uliniuzia mwenyewe bi zainab hapo kwako sinza.
Sent using Jamii Forums mobile app
aisee, hakuna tofauti na m'bwia 'njugu'kuanzia kwa kupaka kila siku ikiwezekana
Sijakuelewa.aisee, hakuna tofauti na m'bwia 'njugu'
Sijakuelewa.
Ukibeba chapati tafadhali naomba nami unichukulie moja ya kuonja!Wee bibi, nitayarishie kilo zangu tatu nipo njiani, kesho mgeni wako.
Usisahau kunitayarishia na zile chapati zenu bila mafuta.