Udongo (100% Natural) wa asili, Zainab's Natural Super Clay, mzuri sana kwa ajili ya kulainisha ngozi ya usoni na mwilini na kufanya ngozi iwe nyororo na ya kupendeza, sasa unapatikana sehemu nyingi.
Udongo huo wa asili ni wa hapa Tanzania, hauna madhara mwilini, umekuwa ukitumika na baadhi ya makabila ya Tanzania kwa miaka na miaka kulinda na kufanya ngozi zao ziwe za kuvutia.
Udongo sasa tumeweza, kuusaga kuwa kama poda na kuuchuja michanga na unaweza kuupaka kiurahisi zaidi kwenye ngozi baada ya kuuchanganya na maji.
Matumizi
Scrubbing, unaweza kujipaka usoni na au mwililini baada ya kuukoroga na maji safi na kuuwacha ukauke mwilini au usoni na kufanya scrubbing kama kawaida.
Masking, unaweza kujipaka usoni au mwilini baada ya kuukoroga na maji safi na ukauacha kama mask na baada kuuosha.
Face Wash, unaweza kuutumia kama face wash badala ya sabuni zenye makemikali, ni mzuri sana unateleza kama sabuni na hauna madhara, unaondoa vipele na rushes za usoni na ngozi iliyokufa, mara ya kwanza tu utaona uso unavyokuwa laini na mvuto.
Body Wash, unaweza kuutumia kama body wash badala ya sabuni zenye makemikali, ni mzuri sana unateleza kama sabuni na hauna madhara, unaondoa vipele na rushes za mwilini na ngozi iliyokufa, mara ya kwanza tu utaona ngozi inavyokuwa laini na mvuto.
Massage, unaweza kutumia kwa kufanyia massage mwilini, udongo ni laini na unatelezza kama sabuni baada ya kuuchanganya na maji safi, faida za kufanyia massage ni utavipata vyote hivyo juu.
Sun Protection, unaweza kuutumia kama sun protection kwa wale wale wanaofanya kazi za juani kwa muda mrefu, unachanganya na maji safi unajipaka na baada ya shughuli zako unanawa tu, inasaidia kulinada ngozi ya ko na jua, vumbi, na kuifanya iwe mororo na yenye nguvu.
Udongo huu ni mzuri sana na huwezi kuusifia zaidi mpaka uutumie.
Wanawake na wanaume wanaojali ngozi zao na muonekano wao wanaweza kutumia udongo huu. Na wale wenye tatizo lolote la ngozi hili ndiyo suluhisho asili "natural", hakuna mbadala.