Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

Nilinunua elfu 10, ukiwa Feri unataka kuvuka kwenda kigamboni utakuta kuna jamaa ameweka vitu vya mazoezi na hivyo vitairi anavyo.

Kula ni kawaida ila isiwe junk food (Burger, Pizza n.k)
mkuu hicho kitairi(roller) nasikia ukifanya sana zoezi lake unaweza kuumwa kifua na mbavu baada ya miaka mitano
 
Samahani nimechelewa kuona post yako.

Mkuu nimeanza kutumia kitairi muda mrefu tangu 2013.
To be fair hua nafanya mazoezi kisha naacha kwa muda, inawezekana hilo likawa limesaidia lakini hata hivyo nawajua watu ambao wametumia hiki kitairi kwa muda mrefu na hawakupata haya madhara.

Hata online sijaona sehemu iliyoonesha kua roller ina side effects. Pengine aliyekua anatumia hakua akijiweka katika mkao mzuri na idadi ya reps na namna ya kufanya hakuzingatia.
 
nashukuru maana mimi ndio nimeanza mwaka huu
 
Zoezi la kitairi bwana ni gumu sana kwakweli, misuli ya tumbo inauma vibaya sana
 
sorry mkuu nikitaka nitengeneze kifua kiwe kama hapo kwenye picha ulio tupia.(bila kwenda gmy lakini)
 
hatimaye juzi ijumaa nimepokea mzigo wangu nilionunua kwa huyu mheshimiwa
 
Attachments

  • IMG-20170310-WA0005.jpg
    IMG-20170310-WA0005.jpg
    26.6 KB · Views: 177
mkuu njia nyingine hamna mana sina hata kifaa kimoja cha gmy (lakini kifua chenyewe kisiwe kikuubwa cha kawaida tu kama flat ivi)
 
sorry mkuu nikitaka nitengeneze kifua kiwe kama hapo kwenye picha ulio tupia.(bila kwenda gmy lakini)
Samahani mkuu nimechelewa mno kuiona post yako.

Bonyeza username ya Castr nenda kwenye posts utakuta uzi unasema 'Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia gym'

Utapata unachokitaka mkuu.
 
Back
Top Bottom