unataka nini?

unataka nini?

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
tajiri mmoja mkubwa akiwa so bored,alisimama kando ya bwawa lake lenye mamba wakali wanyama wengine wa majini, alimuita msaidizi wake na kumuamrisha amletee watu watatu wenye ujuzi wa kuogelea.
Baada ya watu watatu kuletwa
Tajiri:"atakayeweza kuogelea kukatisha bwawa hili na kutoka salama nitampa atakacho "
Watu"mh"
Tajiri:"nani anaweza?"
Watu(kimya)
Tajiri akiwa mnyonge na amekata tamaa na kuanza kuondoka!
Mara ansikia pwaaaaaah,kuangalia bwawani anaona jamaa anakata maji kwa spidi ya hatari:
Tajiri akavutiwa sana na speed ya yule jamaa!
Baada ya jamaa kutoka majini
Tajiri:"sijawahi kufurahi kama leo,sema chochote utakacho nitakupa"
Jamaa🙁huku akihema sana na macho yamemtoka)"namtaka mshenzi aliyenisukumia majini"
 
hahahahahahahahaha!!! Uwiiiii my mbavu zangu!!! Maskini si angezuga hata ajifanye kaogelea kwa mapenzi yake!! Inabd tajir ampe tu japo kifuta machozi, hata kama kasukumizwa!
tajiri mmoja mkubwa akiwa so bored,alisimama kando ya bwawa lake lenye mamba wakali wanyama wengine wa majini, alimuita msaidizi wake na kumuamrisha amletee watu watatu wenye ujuzi wa kuogelea.
Baada ya watu watatu kuletwa
Tajiri:"atakayeweza kuogelea kukatisha bwawa hili na kutoka salama nitampa atakacho "
Watu"mh"
Tajiri:"nani anaweza?"
Watu(kimya)
Tajiri akiwa mnyonge na amekata tamaa na kuanza kuondoka!
Mara ansikia pwaaaaaah,kuangalia bwawani anaona jamaa anakata maji kwa spidi ya hatari:
Tajiri akavutiwa sana na speed ya yule jamaa!
Baada ya jamaa kutoka majini
Tajiri:"sijawahi kufurahi kama leo,sema chochote utakacho nitakupa"
Jamaa🙁huku akihema sana na macho yamemtoka)"namtaka mshenzi aliyenisukumia majini"
 
tajiri mmoja mkubwa akiwa so bored,alisimama kando ya bwawa lake lenye mamba wakali wanyama wengine wa majini, alimuita msaidizi wake na kumuamrisha amletee watu watatu wenye ujuzi wa kuogelea.
Baada ya watu watatu kuletwa
Tajiri:"atakayeweza kuogelea kukatisha bwawa hili na kutoka salama nitampa atakacho "
Watu"mh"
Tajiri:"nani anaweza?"
Watu(kimya)
Tajiri akiwa mnyonge na amekata tamaa na kuanza kuondoka!
Mara ansikia pwaaaaaah,kuangalia bwawani anaona jamaa anakata maji kwa spidi ya hatari:
Tajiri akavutiwa sana na speed ya yule jamaa!
Baada ya jamaa kutoka majini
Tajiri:"sijawahi kufurahi kama leo,sema chochote utakacho nitakupa"
Jamaa🙁huku akihema sana na macho yamemtoka)"namtaka mshenzi aliyenisukumia majini"

huyo jamaa ni m2 wa cc magamba nini? mbona anakuwa mzito kufikiri
 
Kumbe alikuwa ana woga tu ila uwezo alikuwa nao!!
 
ha hahaaaaaaaa hah aaaaaaaaa uwiiiiiiii jamani eeeeeee nafaaaaaaa mie!!!!!
 
ha,ha,ha,ha,ha,haaaa dah! Hak ya mungu nieipenda hii dah!
 
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
 
hehehehehehe... hhehehe :hurt:hahahHA
 
:a s 465::a s 465::a s 465::a s 465::a s 465::a s 465::a s 465::a s 465::a s 465:like it
 
Hata ingekuwa ni mimi ningamalizana kwanza na aliyenisukuma, dah! Si uuaji huyo!!

:bolt:
 
Back
Top Bottom