ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,786
- 24,921
we jamaa umeoa miuno feni hapo na muenda ngomani kila ifikapo ijumaasasa mnatushaurije tuliokwisha oa Wazaramo ??? tuwape talaka?
Last edited:
we jamaa umeoa miuno feni hapo na muenda ngomani kila ifikapo ijumaasasa mnatushaurije tuliokwisha oa Wazaramo ??? tuwape talaka?
Ila sifa ya mwanamke ndiyo hiyo mzee mengine baadae.we jamaa umeona miuno feni hapo na muenda ngomani kila ifikapo ijumaa
Anglia wakinga,wabena na wahehe wanavyofanya kazi Kwa bidii. Anglia southern highlands kuelekea katavi mpaka Songea masasasi. Na mikoa ya kwao Rudi kule mikoa Yao wameshikilia sekta za uchumi.wamama nao ni wachakarkaji hawaki tamaa mapema. Ukirudi Dar es salaam kibao wanajishughulisha .kinachowapa nguvu wachaga ni kabila kubwa la tatu Tanzania.hahahaha mkuu nimekaa uko miak mingi nimezaliwa huko pia ukitak generation ya banakongo drawf wakinga ,wahehe hatar ni wavumilifu lakin. wan hurum mno wako tayar kutoa papuchi kwa kumuonea hurum mwanaume tu kweny mafanikio wahehe hapan wanardhk na vitu vidogo san wanasemag vagaya sida yaan hawan shida mkuu
Cc Miss NatafutaWachaga oa lkn usije dhubutu wale tunaoita wapalestina(wamachame) kwel mtatafuta hela na wanajtoa kwel ila mkfanikiwa na ukpata nae mtt tu tyr kashapata knga. Hapo maisha yako n mafupi.
du mkuu niko ineterested sana na wamachame na mmachame wangu kabisa kwann umasema hvo mkuu nipe uzoefu wakoTuliooa wachaga tunajuta,Pata mchaga wa machame ndo utajua kwa nini waliitwa waparestina.
Sijui wachaga wengine ila wamachane sitamshauri mtu yeyote ninayempenda aoe huko akibisha baasi
Hizo porojooMe n mchaga mkuu kwa hyo tunajuana vzr. Na wanakuwa wema sana na washaur wazr sana tatzo pale tu mtakapopata maendeleo hapo ndio ujiandae. Fanya taft mkuu kuhusu wamachame utaleta mrejesho.
Umeandika kilugha?Mmh. Kwa hili sijui kama huwambi ngoma Mkuu.
NdioHuu ndo woga wa maisha. Yaani mwanaume unamtegemea mwanamke ili upate mafanikio??? So wachaga ndo wamejenga miji yote nchi hii hadi Mbeya na Mwanza???
Alijua uwezo wako mdogo, huwaweziKaoe mchaga Mkuu,
Uje kutupa mrejesho. Nina rafiki yangu ni mchaga aliwahi nionya na kuniambiA. " Usioe Mchaga"
Baba yako kakuzidi akili?Baba yangu aliwai kunambia kuwa nisioe mchaga najua kwa wanaojua wataelewa ukijaribu kuzunguka nyumba nyingi tu utakuta wajane wengi tu ila ujane ujane wanautaka wenyewe
Hahahaaa. Kilugha tena Mangi.Umeandika kilugha?
WEWE TUNAKUHESABIA TU MIAKA KADHAA LAZMA AKUTOE KWENYE EQUATIONmkuu mbona unantisha na mmachame wangu so educated so smart
Nilichojifunza kwao mwadu mkuu niko ineterested sana na wamachame na mmachame wangu kabisa kwann umasema hvo mkuu nipe uzoefu wako
Utaratibu wao wa mwanamke kutokuwa na urithi kwao huchangia kuwa na matendo ya kikatili wanapoona mnamafanikio kimaisha.du mkuu niko ineterested sana na wamachame na mmachame wangu kabisa kwann umasema hvo mkuu nipe uzoefu wako
Haaa,mbona wamachame tulikuwa tunagombewa yaani uwezi amini nilipata wachumba wengi Sana na sijamwua mume wangu mbona pamoja na mafanikio Mungu katujaliwaWachaga oa lkn usije dhubutu wale tunaoita wapalestina(wamachame) kwel mtatafuta hela na wanajtoa kwel ila mkfanikiwa na ukpata nae mtt tu tyr kashapata knga. Hapo maisha yako n mafupi.