Bonyobonyo
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 226
- 235
- Thread starter
- #121
acha mawazo ya enzi za ujima mkuuukioa mwanamke wa kichaga ukifanikiwa ujiandae na kufa
acha mawazo ya enzi za ujima mkuuukioa mwanamke wa kichaga ukifanikiwa ujiandae na kufa
Ngoja nikatafute mchaga baa maana ndiyo kazi zao wadada wa kichaga mabaa mediWakuu kutokana na utafiti niliofanya kwa muda mrefu nimegundua kwamba familia nyingi zilizofanikiwa ni zile zenye damu ya kichaga ndani yake.
Uchunguzi huu nimeufanya kwa ngazi ya mtaa mpaka kitaifa.
Mosi wachaga ni wachapakazi; mwanamke wa kichaga ni hard worker siku zote. Wengi mtakubaliana nami
wana mipango mingi ya kimanufaa kwa sasa na baadaye.
Pili wachaga ni wasomi na hii iko wazi kabisa. Wanawake wa kichaga wengi wao ni wasomi ni inachangizwa na wingi wa shule katika mkoa wao pia mwamko mkubwa wa wazazi na wanajamii nzima juu ya umuhimu wa elimu.
Wachaga wengi ni warembo hii ni sababu ya ziada itayokuvutia juu ya mabinti hawa wa kutoka chini ya mlima mrefu Afrika.
Unabishana na computer kwa nini? Huyo ni mchaga, anajua anachosema.naomba niseme sio wote mkuu
Duh! Mzaramo fukuza mara moja!sasa mnatushaurije tuliokwisha oa Wazaramo ??? tuwape talaka?
Mkuu,watu wanapotosha kipande kidogo kwenye sehemu yenye ukweli, kwanza kuhusu kuua waume zao hilo lipo japo si kwa kiwango hiki exarrated kama kinavyosemwa,na sababu ya hao wachache kushughulikiwa pia inapotoshwa! Ukweli ni huu,Mwanamke wa kimachame anajikisia fahari na heshima pale anapokuwa na kitu ambacho kimepatikana kwa jasho lake,toka wakiwa watoto huwa wanafundishwa maisha ya kujitegemea bila kumtegemea mtu mwingine,sasa pale utakapo muoa yeye anakuchukulia kama mume na bussines partner at the same time! Anataka sasa mshirikiane kupambana ili safari ya mafanikio iwe fupi,Tatizo huwa linakuja pale ambapo mkishafanikiwa basi kama kawaida ya mwafrika Mfumo dume unatamalaki! Yaani mali mtafute wote ila zikishapatikana mmoja ndiyo anajipa haki kuu juu ya mali mlizochuma wote! Hapo Utakufa my friend!! Mara nyingi kwenye familia ya mama mmachame basi mama huwa ndiyo engine,na hiyo haitokei bure tu bali inatokana na mchango wake mkubwa kwenye familia kuliko baba! Sasa ukianza kumkalia kichwani anakuona kama jambazi unaetaka kupora jasho lake! Lazima akurestishe! Note= mwanaume wa kimachame akioa mke mmachame basi mume huwa down to earth kwa mkewe,ila huwa hawadumu sana kwa sababu wanaume wa kimachame pia hupenda uhuru, ila ikiwa mwanaume mmachame akioa mwanamke mkibosho watadumu tena kwa amani na upendo kutokana na mfanano wa hulka zao!! Ukitaka kuona muvi la kivietnam basi ni Pale mwanaume mkibosho aoe mwanamke wa kimachame! Yaani hapo hata popcorn hazitalika,hapo ni mpaka mmoja aanguke ndiyo utulivu urejee! Wote wababe!Me n mchaga mkuu kwa hyo tunajuana vzr. Na wanakuwa wema sana na washaur wazr sana tatzo pale tu mtakapopata maendeleo hapo ndio ujiandae. Fanya taft mkuu kuhusu wamachame utaleta mrejesho.
Wapalestina!! Hahahaha.. Nakumbuka kuna mwanamke mmoja alikuwa ananipenda sana sa sijui kutokana na hali ya maisha niliyokuwa nayo kwa kiasi chake?!! Kuna jamaa angu Mchagga akaniambia " mwanangu huyu binti anakuelewa sana Fanya maarifa" nikamwambia ni ndugu yako huyoo Mchagga wa Machame. Akashtuka yupo " Aisee! Huyo mwanamke achana naye tutakusahau mapema"Wachaga oa lkn usije dhubutu wale tunaoita wapalestina(wamachame) kwel mtatafuta hela na wanajtoa kwel ila mkfanikiwa na ukpata nae mtt tu tyr kashapata knga. Hapo maisha yako n mafupi.
Mkuu kuna jambo hujakimalizia hapa. funguka zaidi kwa faida ya jamiiUkweli anaujua MTU aliyeoa Mchaga. Maisha sio hadithi au kusikia tu. Mwanamke ni tabia. Mwanaume ni tabia. Hata awe na elimu ya biashara kama tabia sio nzuri ni shida na tabu tupu kwenye ndoa hata kama una mafanikio. Nimeoa mchaga najua A to Z. Ulichoandika ni ubanguzi mkubwa, je kwa mfano wanawake wa Ruvuma (Mahindi), Manyara(Mchele, Alizeti), Singida(Alizeti, Vitunguu), Tabora (Pamba) na Mbeya (Mchele) ni wavivu? Kwa mwanamke wa kichaga, KWANZA: Pesa. Ukiwa na pesa utaoa. PILI: Kazi. Kama hauna pesa uwe na kazi wa uhakika. Mifano mnayo. TATU: Elimu. Elimu iendane na kazi. WANAWAKE WOTE WA TANZANAIA NI Wazuri, ila Mwanamke ni Tabia.
Aisee! Future Hunter unanichekesha sana. Kwa hiyo, wametumwa kwa kazi maalumu?Majority wako hvo.huyo n mmoja nina mifano mingi tu.Hao watu wana maelekezo maalum toka.kwa wazazi wao.sasa vijana jichanganyeni mtaona
Nilitaka niulize hivi hivi, shukrani mkuu!wachaga wa wapi sasa wanafaa kuoa maana nasikia wapo tofauti,
kuna walevi sana
kuna wanao ua waume zao
kuna wanaopenda nanii kuliko kazi
naomba muongozo chief...
Promo hii anawafanyia!Mmh. Kwa hili sijui kama huwambi ngoma Mkuu.
I have been told this more times.Capt Tamar kuna haja gani ya kuoa mbabe? Wanawake wote kichaga ni wababe, wana lugha ya hovyo, kwao maisha ni msuguano akitafuta kumtawala mume. Na ukikubali kutawaliwa kama mume basi you are down as dead, hata watoto hawakutambui. Generaly hawafai. Anayetaka kuoa mwanamke wa kichaga aoe at his own risk.
Umejenga hoja vizuri Jamaa ametoka kula maparachichi amevimbilwa anakuja kutudanganya kafanya tafiti.Post yako imepata watazamaji 1k ndani ya dakika 20....
Unajua kwann??? Maisha hayana Fundi yaan mwalimu , maisha hayaangali umetoka wapi ,upo nani, Maisha ni Mapambano yako wee mwenyewe na mwenzako bila kujalisha ukabila.
Ili mradi ukioa mwanamke makini atakayezipa Pumzi Juhudi zako, asikupe stress za maisha, akakupa furaha, nasababu na nia ya kufanya mabadiliko ya kiuchumi ndani ya Familia..UTAPATA MAFANIKIO.
Wapo walooa wachaga lkn mpaka leo ni Empty Set!! .
Kuna watu wameumbwa kusema ukweli, wewe ni mojawapo! Mwanamke yeyote wa kichaga ni mbabe, huwezi kuuliza kitu, huwezi kuelekeza chochote. Wao ni wao kwenye familia, usiku na mchana wanawaza namna ya kumtawala mume lakini mume anabkia kama chanzo kikuu cha mapato asiyokuwa na control nayo.Mkuu hao ni dada zangu kabisa wana mambo ya kibabebabe,, hawatakaji kuulizwa kitu, yupo tayari kuvunja mahusiano kwa ya pesa.
Then take this from horse mouth!I have been told this more times.
Ulichoandika ni ukweli ambao utapingwa.Capt Tamar kuna haja gani ya kuoa mbabe? Wanawake wote kichaga ni wababe, wana lugha ya hovyo, kwao maisha ni msuguano akitafuta kumtawala mume. Na ukikubali kutawaliwa kama mume basi you are down as dead, hata watoto hawakutambui. Generaly hawafai. Anayetaka kuoa mwanamke wa kichaga aoe at his own risk.
Mkuu umeshau roho mbaya kuna wengi nafahamu tumesoma nao chuo nimekuwa kiongozi sikuwahi kuona wametoa hata mchango wa wowote was hiari kama rambirambi na pia wana visasi sana!!Kuna watu wameumbwa kusema ukweli, wewe ni mojawapo! Mwanamke yeyote wa kichaga ni mbabe, huwezi kuuliza kitu, huwezi kuelekeza chochote. Wao ni wao kwenye familia, usiku na mchana wanawaza namna ya kumtawala mume lakini mume anabkia kama chanzo kikuu cha mapato asiyokuwa na control nayo.
Ndugu zako plus wazazi wako kama wana uwezo mdogo kiuchumi watajutia wewe kuwa ndugu yao. Hata ile heshima ya mzazi hakunaga kwa hilo kundi.
Wamekosa kitu kinachoitwa UTU. Jirani yangu ninapoishi ishi ni Mchagga. Mzee wa watu ni Askofu( siujui ni Mchungaji wale wanao' oa. Mke wake alimuitia majambazi kabisa ili amuue arithi mali peke yake kwa bahati nzuri alinusurika. Yule mzee alivyojua mke wake ndiye aliyepanga ile mipango akaondoka alikuwa na nyumba kubwa tu nzuri, akamuachia nayo akamuachia na watoto.I have been told this more times.
mijitu ya chato bwan kil kitu wao wanatak kuonekan bor pita hiv mkuu hap tunazungumzia watu weny akili na mawaz chanyaUmejenga hoja vizuri Jamaa ametoka kula maparachichi amevimbilwa anakuja kutudanganya kafanya tafiti.
Hahahahaa! Hili nililiacha chifu. Hiyo roho mbaya wenzako ndo wanaita mafanikio ya wachaga.Mkuu umeshau roho mbaya kuna wengi nafahamu tumesoma nao chuo nimekuwa kiongozi sikuwahi kuona wametoa hata mchango wa wowote was hiari kama rambirambi na pia wana visasi sana!!