wakuu kutokana na utafiti niliofanya kwa mda mrefu nimegundua ya kwamba familia nyingi zilizofanikiwa ni zile zenye damu ya kichaga ndani yake uchunguzi huu nimeufanya kwa ngazi ya mtaa mpaka kitaifa
mosi wachaga ni wachapakazi,mwanamke wa kichaga ni hard worker cku zote wengi mtakubaliana nami
wanamipango mingi ya kimanufaa kwa sasa na baadae
pili wachaga ni wasomi hii iko wazi kabisa wanawake wa kichag wengi wao ni wasomi ni inachangizwa na wingI wa shule katika mkoa wao pia mwamko mkubwa wa wazazi na wanajamii nzima juu ya umuhimu wa elimu
wachaga weni ni warembo hii nI sababu ya ziada itayokuvutia juu ya mabinti hawa wa kutoka chini ya mlima mrefu afrika