Unataka mafanikio? Nakushauri oa mwanamke wa kichaga

Unataka mafanikio? Nakushauri oa mwanamke wa kichaga

Umenena mkuu, nimeoa Mchaga. Very hardworking wanamipango sana na wanachukia kupitwa kimaendeleo. Utachapa kazi tu ukiwa nae ukiwa mzembe si ajabu akakutema kwa style yeyote ile.

Ila zingatio, hawako romantic sana ktk mambo yetu Yale hawako vizuri kwanza manjonjo hawana.
 
Viuno vigumu au sio[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida ya hawa watu ni hua hawana utu kwenye pesa mtu ndugu yao ameumia lakini wanakomaa wapewe refunds za gharama walizozitumia
 
Ume generaliza sana,kwa hiyo watu ambao hawajaoa wachaga nao hawana mafanikio?
 
Yap kimafanikio wapo vyema wapambanaji ILA Tuliozaliwa kaskazini tunakushauri ukichukua mmachame buraza fikiri mara 2 kama anajua kilugha acha kama kidogo braza jipange maana umetake risk au Bomu kabisa
 
Wakuu kutokana na utafiti niliofanya kwa muda mrefu nimegundua kwamba familia nyingi zilizofanikiwa ni zile zenye damu ya kichaga ndani yake.

Uchunguzi huu nimeufanya kwa ngazi ya mtaa mpaka kitaifa.

Mosi wachaga ni wachapakazi; mwanamke wa kichaga ni hard worker siku zote. Wengi mtakubaliana nami
wana mipango mingi ya kimanufaa kwa sasa na baadaye.

Pili wachaga ni wasomi na hii iko wazi kabisa. Wanawake wa kichaga wengi wao ni wasomi ni inachangizwa na wingi wa shule katika mkoa wao pia mwamko mkubwa wa wazazi na wanajamii nzima juu ya umuhimu wa elimu.

Wachaga wengi ni warembo hii ni sababu ya ziada itayokuvutia juu ya mabinti hawa wa kutoka chini ya mlima mrefu Afrika.

Ukitaka mafanikio wee Kwanza kuwa na malengo...Kama huna malengo na Nia ya kufanikiwa hamna mwanamke was kabila litakalo instill that in u. Behind every successful man there is a woman....that woman is ur mother not ur wife.
 
Mkishafanikiwa jiandae kisaikolojia kurestishwa in peace. Hata kwa dawa hujanishawishi kuoa mchaga.
 
Kaoe mchaga Mkuu,

Uje kutupa mrejesho. Nina rafiki yangu ni mchaga aliwahi nionya na kuniambiA. " Usioe Mchaga"
 
  • Thanks
Reactions: a45
Yap kimafanikio wapo vyema wapambanaji ILA Tuliozaliwa kaskazini tunakushauri ukichukua mmachame buraza fikiri mara 2 kama anajua kilugha acha kama kidogo braza jipange maana umetake risk au Bomu kabisa
aieee wangu ajakaa machame kabisa kazaliwa sanya kakulia iringa
 
Back
Top Bottom