ni ukweli usiopingika kuwa wachaga wengi wanamafanikio na ni wachapakazi,lakini kwa upande mwingine wa sarafu mimi nimekuwa na mahusiano na mabint wa kichaga watatu kwa nyakati tofauti nikagundua udhaifu wao unaofanana kwa wote watatu kama ifuatavyo....
=Sio romantic hata kidogo.
=Sio wakarimu hata kidogo
=Wanapenda fedha kama benki.
=Hawapendi kujishusha kwa mwanaume hata kidogo
=Si wepesi kuomba msamaha hata wakikosea.
=Kauli mbio yao ni "Fedha kwanza mapenzi baadae".
=Hawana wivu wa mapenzi hatakidogo. we chepuka lakini ukiludi home mpe mahela tuu hata huto ulizwa ulikuwa wapi!.
NOTE. Ukitaka kupata mafanikio ya kiuchumi oa mangi ila ukitaka mafanikio ya kimapenzi,,,,,,, akili kumkichwa.