sonnita
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,787
- 1,920
Eeh wengi wangepotezea tuu ka wewe kwa machungu. Ila uhakika moyoni unakua bado na hasira na kuwaza zile wishful thinking vile ungeweza kumkomesha(ila ndo hauwezi kuvifanya).Hahaha Jamaa ana guts za ajabu. .if ningelikuwa mimi ningebaki na aibu yangu. .huwa siwezi conflict kabisa aise
Bora uyo kaweza kumtolea uvivu shaaaaarp.[emoji23]