hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,347
- 80,220
Kwa mujibu wa Dr . criss cyrilo
Hadithi hii ipo kwenye kitabu kiitwacho "
PLATO & PLATYPAS WALK INTO A BAR.
--------------------------
Jana niliingia Library Pali kuwa kimya sana .
Wakati natafuta pahali pakukaa. Nikakutanisha Macho na Mtoto mmoja hivi shombe-shombe Mkali balaa.
Akatabasamu kisha akaangalia Kitabu chake na kuendelea Kusoma
Moyoni nikajisemea "FURSA "hii .nikamsogelea na kwa sauti ya chini sana iliyo tu-tosha sisi wawili nikam-chombeza , Habari mrembo ni naweza kukaa hiki kiti Cha Jirani Yako, ?
--------
Akanijibu kwa sauti Kubwa mno. Ambapo kila mtu mle ndani Alii sikia , Akasema -SIWEZI KULALA NA WEWE LABDA UNIROGE ''---
kila mtu alinigeukia mimi na kunishangaa
Kwa unyonge ni kaenda kukaa sehemu nyingine iliyokuwa wazi, ,
Baada ya dakika mbili Yule mrembo akanifuata Hadi nilipo kuwa nimekaa. Akaniambia kwa sauti Hafifu mno. Nina soma Psychology ninajua unacho kifikiria . Unajihisi nime kuai-bisha sana sindio ? I'm sorry ...
-------'------
Nikaropoka kwa sauti Kubwa sana - UNATAKA LAKI 2 KWA USIKU MMOJA TU AAH WAPI LABDA UNIROGE.
Halafu Nikamuambia kwa sauti ya chini mno Nina soma sheria. Nina Jua kumfanya mtu Ajione mwenye Hatia I'm sorry "
By -malisa