Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,370
zinawabadilisha sana manake kila nikimuona rachel wa yale maigizo ya mahusiano ya clouds naona nae unatural wake unapotea anakimbilia kuwa mzungu sasa
Yule anajidai much know sana,alikuwa mweusiiiii kaanza kujichubua kama utani.
Sijui hawaonagi aibu?