Unataka kuwa mzuri na mweupe

Unataka kuwa mzuri na mweupe

Hata utumie mkorogo gani ka lisura lako libovu litabaki vile vile.

Yaani mkorogo ni gonjwa sugu asee....hupishani na wadada mmoja wawili hawajutumia hii kitu!.... Ngoja tuone Magu anaeza fanya ban ya hizi products..
 
Duuuhhhh hivi bado kuna watu wanautumwa
Wa akili kiasi hichi ?
 
Boflo ulikuwa wapi chai nimekutafuta sana?.....
 
Last edited by a moderator:
Huyo mbega mpelekeni kwa wenzake mbuga ya Saadani...
 
ila kusema ukwel wanawake weupe tena wakiafrica zaid sio wazungu wanavutia
 
Boflo na ngoma yako ya kule pemba..inaitwaje tena?...umekimbia nini?
 
Last edited by a moderator:
Weka pia joints za vidole.

Ukihamia jukwaa la wakubwa weka bonde la Masaburi na na eno la la shimoni soko la Kariakoo.

Hapo ndiyo watafanya complete assessment.

Onyo: Karibu Kansa!
 
Aisee unaeza ukafika siku ya kiama sura yako haijamatch ya aliyonayo mungu unaeza jikuta jehanam direct..mhh
 
Hata utumie mkorogo gani ka lisura lako libovu litabaki vile vile.

From theological point of view, there are no ugly people! God created all things in a perfect way. Just value what God has given to you ... Every one has something unique, discover it.
 
Hamna cha theological wala nini binadamu huzidiana uzuri na ibovu vile vile kama Absalom mtoto wa Daudi,Bathsheba na wengineo. Mkorogo hauongezi uzuri au nini?
 
Yes! Umenena vyema, wanazidiana katika uzuri lakini hakuna aliye mbaya wa sura. Nionyeshe ni fungu lipi linalomtaja mwanadamu kuwa na sura mbovu au mbaya! Mtu aliyekuw na uzuri uliozidi aliandikwa. Anyways, wanawake waache kutumia vitu vinavyowaharibia uzuri wao, ni ushauri wangu.
 
Wapo kabisa wenye sura chachu ka wanatumbiliwa jipu kabisa hiyo haikwepeki pia kuzidiana kupo ka wale watu wa kuchorwa.
Hapo kwa wanawake kutumia chemicals Mara michina kukuza sijui nini nakubaliana nawe. Kikubwa wajikubali walivyoumbwa na Mungu na kuzitunza rangi za asili za ngozi zao
 
Yes! Umenena vyema, wanazidiana katika uzuri lakini hakuna aliye mbaya wa sura. Nionyeshe ni fungu lipi linalomtaja mwanadamu kuwa na sura mbovu au mbaya! Mtu aliyekuw na uzuri uliozidi aliandikwa. Anyways, wanawake waache kutumia vitu vinavyowaharibia uzuri wao, ni ushauri wangu.

Wabaya wapo,
mbona tunapenda sana kujifariji
 
zinawabadilisha sana manake kila nikimuona rachel wa yale maigizo ya mahusiano ya clouds naona nae unatural wake unapotea anakimbilia kuwa mzungu sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom