samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 360
ukitaka raha ya kusafiri dar unga msafara wa mkulu speed 120, atakayejipendekeza kulaa!
13.usiombee ndo kuwe na mvua dsm utakoma kwa foleni utadhani kuna msiba wa nyerere maana uwanja wa taifa..
ukitaka raha ya kusafiri dar unga msafara wa mkulu speed 120, atakayejipendekeza kulaa!
ukitaka raha ya kusafiri dar unga msafara wa mkulu speed 120, atakayejipendekeza kulaa!
kama vile we kum... duh modi wasije kunipiga banAlafu lazima uwe unajua kutukana matusi ya nguoni lol!
15)Ukubali kuibiwa vitu km Window power or Side Mirrow Popole upakiapo gari or kwny foleni14) Unapoingia Petrol Station, make sure macho yako hayabanduki kwenye kisoma bei cha pampu, hukawii kulipishwa/kuunganishiwa na bei aliopita kabla halo ukalipa zote.