Home is where the lies are, dark places
A court of thorns and roses by sarah
An ember in the ashes...
Hata kimoja cha Kiswahili hakuna ambacho ungependa kukisoma?
Zawadi ya ushindi
Wana JF,
Tumejadili vitabu tulivyosoma 2014, wengi wetu tuna muda mchache wa kusoma na tungependa kuutumia muda huu vizuri kwa kusoma vitabu vizuri.
Ningependa kujua mngependa kusoma vitabu gani mwaka wa 2015.
Orodha ya vitabu kumi itafaa.
mkuu kimetungwa na nani? unacho katika pdf?The Intelligent Investor
duuu!!! kweli!! ,hivi joram kiango vitabu vyake vipo tu, kitambo sanaVyangu hivi hapa.........
duuu!!! kweli!! ,hivi joram kiango vitabu vyake vipo tu, kitambo sana