Unataka kuolewa mdada umejipanga?

hahahahahahahahah! walah ndoa hizi khaaa!nilifanya bwana ile ya kupokea had koti siju nkumvua viatu,i kufungua vishikizo aliniuliza oya UMETUMWA NA CHADEMA EH???yaan niliishia kucheka hatari kwakwel kila mtu na ndoa yake
Huyu jamaa kiboko.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimemkumbuka yule dada aliyesema ye akivurugwa anachamba kuanzia mume na ukoo wake wote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimemkumbuka na mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…