Ney [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
Mpaka unajihisi kuchanganyikiwa mechoka mechoka kwakweli, embu hizo jando zirudishwe na wawakumbushe kwamba ndoa is not about kukutanisha miili tuu jamani kuna mambo mengi sana mfyuuuuu nachukia mno.
Mweeeh!! Hapa antie sina, kwahiyo hiyo ndio introduction uh!!!Baba D kuna auntie yangu anakuonaga kwa mbali anasema eti nimtambulishe kila siku anakuulizia
Ndio uje umpe darasa maana nakuona umefuzu ngazi ya PHD [emoji23][emoji23][emoji23]Mume kigego huyo [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Ha ha ha ha mkuu hakuna kuchezea fursa.Hahahaha
Sawa mkuu. Basi itabidi mhusika AINAME maana mtaka cha uvunguni sharti afanye hivyo.Me nina mume mkuu nishaolewa atafute tu atapata
Ainame tu atapataSawa mkuu. Basi itabidi mhusika AINAME maana mtaka cha uvunguni sharti afanye hivyo.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mimi sasa hahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nalendwa bwana, nilicheka kama chizi jana usiku.
Naomba tendaNdio uje umpe darasa maana nakuona umefuzu ngazi ya PHD [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu, ila Mungu ni mwaminifu sana; hakawii wala hachelewi. Her case is an emergency case, God will intervene instantlyhahahahhahahah anatia huruma very inocent kwakweli!
Ahhahaha mie tutakutana tu njia panda kama alivyosema mrs air. Nilivyo mkali hivi, Mungu azidi kunifundisha kunyamaza tu mmhHivi mtoto anapokosea si kuna wakati inabidi ukoromee kidogo ili akili imkae vizuri? Sasa mbona hawa huwa hawataki wanataka hata kama kakosea yeye wewe ujinyenyekeze ikibidi uombe na msamaha!!!
Haki kama hii ndio njia ya kwenda peponi basi ataingi Heaven Sent peke yake.