PATIENCE PB
Senior Member
- Apr 3, 2014
- 163
- 37
Simple_unalala na kaa la moto kama ulivyosema pia unalala na mwiko I,e unawaona na hata wao wanakuona ila wakitaka kuja kukudhuru ili usitoe siri wanakuta moto tu coz umelala na mkaa....hapo je mkuu...?
Jaribu hiyo mbinu ya pili mkuu, huenda ikawa ndiyo nafasi ya kuwaona.unajua mim sijawahi kuona mchawi iwe kimiujiza au face to face, mpaka najiuliza wanaofatwa na wachawi wanakuwafactor zip?
hahahahahahah naona umenichoka mkuu etJaribu hiyo mbinu pili mkuu, huenda ikawa ndiyo nafasi ya kuwaona.
kumbe majiniaz bado mnaishiSimple_unalala na kaa la moto kama ulivyosema pia unalala na mwiko I,e unawaona na hata wao wanakuona ila wakitaka kuja kukudhuru ili usitoe siri wanakuta moto tu coz umelala na mkaa....hapo je mkuu...?
hiyo inatumika sana kwa kuzuia majini, sio wachawiDawa nikulala namafuta yakitimoto
ahahahahahahahaaaaaaaakumbe majiniaz bado mnaishi
Umenena vyema,hata njaa,mungu,shetani, magonjwa havipo ni mbwembwe,vitisho na imani potofu.Hizo ni imani za kusadikika..hakuna uchawi ni mbwembwe, vitisho na imani potofu..
Hata wewe nafikiri haupo ni mbwembwe na fikra finyu tu kudhani kuwa wewe upo kama unavyojidanganyaUmenena vyema,hata njaa,mungu,shetani, magonjwa havipo ni mbwembwe,vitisho na imani potofu.
Umetishaa mkuuSimple_unalala na kaa la moto kama ulivyosema pia unalala na mwiko I,e unawaona na hata wao wanakuona ila wakitaka kuja kukudhuru ili usitoe siri wanakuta moto tu coz umelala na mkaa....hapo je mkuu...?