Unataka kujikinga dhidi ya Wachawi au unataka Kuwaona?

Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
9,480
Likes
12,599
Points
280
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
9,480 12,599 280
Sina uhakika, maana nahisi labda mshana jr atakua ameshawaandikia hili, kama ndivyo basi iunganishwe tu maana hakutakua na namna tena.

Miaka hiyo huko vijijini kulikua na masimulizi ya kila aina kuhusiana na mambo mbalimbali. Ilikua ni aina ya elimu kupitia fasihi simulizi.

Leo napenda niongelee hili:

Wachawi ni kundi watu wasumbufu ambao hupenda kufanya mambo yasiyo ya kawaida na yenye kuogofya sana. Sababu zinazopelekea watu kujiunga na makundi ya wachawi ni visasi, udhaifu, upweke, urithi/historia na wakati mwingine kulazimishwa/mateka.

Katika simulizi hizo tulipata kusimuliwa baadhi ya mbinu za kujikinga na wachawi ukiondoa zile mbinu za kiimani/DINI.
Kuna mbinu mbili ambazo tulipata kusimuliwa.

Ya kwanza tuliambiwa ili kujikinga na wachawi, chukua mkaa wa moto ambao umekolea moto pande zote na ni mwekundu hasa na uudumbukize kwenye maji. Ukiudumbukiza kwenye maji utasikia mlio 'chaaa', yaani hapo maji yanazima ule moto na moto unajaribu kuyapasha maji lakini moto ndiyo huishia kuathirika zaidi maana huzimika kabisa.

Moto ukishazimika unatakiwa kuuchukua ule mkaa na kuuweka kichwani wakati wa kulala (chini) ya mto. Hapo mchawi akikujia usiku ataishia kuona moto tu pale kitandani na wewe utalala salama kabisa bila ya kusumbuliwa. Lakini hautafanikiwa kumuona au kumjua mchawi wako.

Mbinu hii ilitumika mpaka kwenye kuvikinga vyakula, kule vijijini ilikua ni jambo la kawaida sana kukuta mtu kaanika unga kwenye mkeka ila katika unga huo unaona donge la mkaa. Hufanya hivyo hata wanapokua wameuhifadhi unga huo kwenye vikapu.

Mbinu ya pili, hii ni rahisi sana na inatisha. Mbinu hii unatakiwa kuchukua mwiko uliosongewa ugali jioni hiyo halafu wakati wa kulala unauchukua mwiko huo bila ya kuuosha na kupanda nao kitandani na kuuweka kichwani. Utakapofika muda wa wachawi kupita 'round' utawaona wote kama walivyo ila na wao watajua kuwa umewaona, hapo ndipo ilipo hatari ya mbinu hii ya pili, maana baada ya kugundua kuwa umewaona (na ni lazima wajue) watakushambulia kichawi ili kukuzuia usitoe siri hiyo na katika mashambulizi yao huwa hawakuui, bali watakufanya u-paralise mwili/viungo au akili au mdomo na utabaki kama ndondocha.

Hiyo mbinu ya kwanza tuliweza kuijaribu ila ndiyo hivyo tena...you can't tell maana hatukuona chochote kile wala haina bifu nao wala ushahidi, kuupata ushaihidi ni kama wachawi hao waliongozana na mtoto katika shughuli zao, ndiyo utasikia mtoto akisema "Usiku tulienda kumroga yule lakini pale kitandani tukakuta moto tu".
Ila hii mbinu ya pili, kwa kweli hakuwahi kutokea 'Mkwawa ' shujaa miongoni mwetu aliyethubutu kuijaribu. Maana kila tulipouliza zaidi ili kujua ukweli tukaishia kupata jibu lile lile kuwa ni HATARI na tusijaribu.

Labda mmoja ajitolee kujaribu ili atuletee mrejesho, otherwise tutaendelea kuamini hivyo.
 
kelao

kelao

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Messages
5,705
Likes
2,074
Points
280
Age
39
kelao

kelao

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2012
5,705 2,074 280
maneno mbofumbofu hayo, wazee walitumia hiyo mbinu 1 ili kuwatoa hofu usiku mkilala msiogope wachawi na mbinu ya 2 imewekwa vitisho na tahadhari ili watu wasijaribu kufanya hivyo msije wakastukia ni uongo
 
kelao

kelao

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Messages
5,705
Likes
2,074
Points
280
Age
39
kelao

kelao

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2012
5,705 2,074 280
Hahahha
Ila jamani kuota unaingiliwa kimapenzi na jini mahaba raha sana.
Huwa nainjoi kufanya mapenzi na jini ndotoni.
Afu nahisi jini mahaba wangu ana bonge la uboo maana nasikiaga utamu sana akiwa ananitia.
Wewe itakuwa ulishafumuliwa hadi marinda na hao majini mahaba yako
 
zed B

zed B

Senior Member
Joined
Jul 12, 2018
Messages
143
Likes
109
Points
60
zed B

zed B

Senior Member
Joined Jul 12, 2018
143 109 60
Siku izi Mada hizi zimekolea humu.
 
kauga JR

kauga JR

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2015
Messages
3,497
Likes
1,982
Points
280
Age
28
kauga JR

kauga JR

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2015
3,497 1,982 280
Usumbufu woote wa nini?
Soma dua. Lasivyo shetanu atakuwa shemeji yako.
 
LIKE Niku ADD

LIKE Niku ADD

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Messages
4,049
Likes
2,369
Points
280
LIKE Niku ADD

LIKE Niku ADD

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2014
4,049 2,369 280
sasa wewe ndo unapaswa uwe chambo wa hiyo njia ya pili ili sredi yako ikamilike. Sisi tutaaminije kuwa ukiweka mwiko kichwani utaona wanga.
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,001
Likes
11,325
Points
280
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,001 11,325 280
Sina uhakika, maana nahisi labda mshana jr atakua ameshawaandikia hili, kama ndivyo basi iunganishwe tu maana hakutakua na namna tena.

Miaka hiyo huko vijijini kulikua na masimulizi ya kila aina kuhusiana na mambo mbalimbali. Ilikua ni aina ya elimu kupitia fasihi simulizi.

Leo napenda niongelee hili:

Wachawi ni kundi watu wasumbufu ambao hupenda kufanya mambo yasiyo ya kawaida na yenye kuogofya sana. Sababu zinazopelekea watu kujiunga na makundi ya wachawi ni visasi, udhaifu, upweke, urithi/historia na wakati mwingine kulazimishwa/mateka.

Katika simulizi hizo tulipata kusimuliwa baadhi ya mbinu za kujikinga na wachawi ukiondoa zile mbinu za kiimani/DINI.
Kuna mbinu mbili ambazo tulipata kusimuliwa.

Ya kwanza tuliambiwa ili kujikinga na wachawi, chukua mkaa wa moto ambao umekolea moto pande zote na ni mwekundu hasa na uudumbukize kwenye maji. Ukiudumbukiza kwenye maji utasikia mlio 'chaaa', yaani hapo maji yanazima ule moto na moto unajaribu kuyapasha maji lakini moto ndiyo huishia kuathirika zaidi maana huzimika kabisa.

Moto ukishazimika unatakiwa kuuchukua ule mkaa na kuuweka kichwani wakati wa kulala (chini) ya mto. Hapo mchawi akikujia usiku ataishia kuona moto tu pale kitandani na wewe utalala salama kabisa bila ya kusumbuliwa. Lakini hautafanikiwa kumuona au kumjua mchawi wako.

Mbinu hii ilitumika mpaka kwenye kuvikinga vyakula, kule vijijini ilikua ni jambo la kawaida sana kukuta mtu kaanika unga kwenye mkeka ila katika unga huo unaona donge la mkaa. Hufanya hivyo hata wanapokua wameuhifadhi unga huo kwenye vikapu.

Mbinu ya pili, hii ni rahisi sana na inatisha. Mbinu hii unatakiwa kuchukua mwiko uliosongewa ugali jioni hiyo halafu wakati wa kulala unauchukua mwiko huo bila ya kuuosha na kupanda nao kitandani na kuuweka kichwani. Utakapofika muda wa wachawi kupita 'round' utawaona wote kama walivyo ila na wao watajua kuwa umewaona, hapo ndipo ilipo hatari ya mbinu hii ya pili, maana baada ya kugundua kuwa umewaona (na ni lazima wajue) watakushambulia kichawi ili kukuzuia usitoe siri hiyo na katika mashambulizi yao huwa hawakuui, bali watakufanya u-paralise mwili/viungo au akili au mdomo na utabaki kama ndondocha.

Hiyo mbinu ya kwanza tuliweza kuijaribu ila ndiyo hivyo tena...you can't tell maana hatukuona chochote kile wala haina bifu nao wala ushahidi, kuupata ushaihidi ni kama wachawi hao waliongozana na mtoto katika shughuli zao, ndiyo utasikia mtoto akisema "Usiku tulienda kumroga yule lakini pale kitandani tukakuta moto tu".
Ila hii mbinu ya pili, kwa kweli hakuwahi kutokea 'Mkwawa ' shujaa miongoni mwetu aliyethubutu kuijaribu. Maana kila tulipouliza zaidi ili kujua ukweli tukaishia kupata jibu lile lile kuwa ni HATARI na tusijaribu.

Labda mmoja ajitolee kujaribu ili atuletee mrejesho, otherwise tutaendelea kuamini hivyo.
Vipi kulala na mfupa wa Kitimoto Mkuu?
Naona hii Hujaizungumzia
 
Hussein Melkiory

Hussein Melkiory

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2016
Messages
7,178
Likes
8,818
Points
280
Hussein Melkiory

Hussein Melkiory

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2016
7,178 8,818 280
Kuna batch mpya ya wachawi wanataka kumwagwa mtaani
 
J

janethmwaka

New Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
1
Likes
0
Points
3
J

janethmwaka

New Member
Joined Sep 10, 2018
1 0 3
Mkuu ungejitoleapo basi ili utuondolee utata.
Mwanangu tokea mwaka mpya analia kweli kweli,,huku anasema anang'atwa na samaki na nyoka.akilia anajishika matakoni na pajani,,,, mimi nimechanganyikiwa kwakweli,,,cjui ni kitu gani mpaka,,,leo ni siku ya kumi na moja.
 
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2017
Messages
2,501
Likes
1,750
Points
280
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2017
2,501 1,750 280
Kuna wachawi wa mchana kweupe , mchana utatembea na huo mkaa ? Mchawi anaweza kujambia chakula chako au kukuwekea vitu vya ajabu nawe unafakamia tu chakula . Umeshawahi kuandaa chakula cha kutosha cha familia ila kinaisha mapema bila kushiba ? Unakula na wachawi na misukule isiyoonekana .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,250,080
Members 481,222
Posts 29,720,197