Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,311
- 4,019
Kuanzia karne ya 14 hadi miaka ya 1700, wachawi takribani 50,000 walikuwa wameuliwa kwa njia kuchomwa moto, kukatwa vichwa au kunyongwa.
Hadi kufikia karne ya 17, usakaji na uuaji wa wachawi ulikuwa umeshatapakaa ulaya nzima.
Matukio ya kwanza ya kusaka na kuua wachawi yalitokea katika sehemu za Italy, France na Germany. Kwa mfano kama moja ya witch hunt kubwa ilikuwa ni ile ya Bamberg, Germany, kuanzia 1626 hadi 1631. Watu 900 waliokutwa na hatia ya kufanya uchawi walichomwa moto hadi kufa.
Ukuaji wa Ukristo katika jamii za kiizungu na pia ukuaji wa hurka ya kuwa hawatapiga maendeleo yoyote kama jamii ya wachawi wakiwepo ndio iliopelekea wafanye maamuzi ya kuwaangamiza wachawi. Kwa maana kabla ya hapo matukio mabaya yaliyokuwa yanawatokea na mengine ya kushtukiza yalishilikishwa na wachawi.
Matukio kama vifo vya watoto, kutopata mazao na magonjwa yalio magumu kutibika, ndio vitu vilihusihwa na wachawi na jamii hizi zihakikisha haviendelei tena.
Impact ya movement hii imepelekea kutokuwa na dhana kubwa au kutokuwa tena kesi yoyote kubwa ya uchawi katika kizazi hiki cha sasa kwenye jamii za wazungu.