Unataka kuijua CHADEMA? Angalia hapa

Ubepari tatizo lake ni kwamba mwenyenacho ndie anayepata na siye nacho ataendelea kuwa mnyonge.

Ni tofauti kabisa na mfumo wa kijamaa.
Jaribu kujikumbusha Uraia au siasa darasa la tatu shule ya msingi.

Yes theoretically that's how it's. Is so practically na kwa mazingira ya Tanzania? CCM inajinadi kuwa chama cha wakulima na wafanyakazi na kinafuata ujamaa.Hivi kivitendo ndivyo ilivyo na hali waliua Azimio la Arusha ambalo lilikuwa linahubiri utu kuwa ni marufuku mtu mmoja (mwenye nacho) kumnyonya mtu mwingine (asiyenacho) kwa njia nyingi kama kumfanyisha kazi kwa malipo duni au bila malipo. Azimio limetupwa na aliyeliahsisi kabla hajafa alisema kulitamka Azimio la Arusha unahitaji roho ngumu kama mwendawazimu.

CCM ndiyo ya kusitikitia ambayo inaishi katika unafiki na uongo wa kuogopwa maana inaendesha mambo kibepari kwa kumilikisha raslimali zetu kwa wageni na huku imejificha chini ya kivuli cha ujamaa. Quite pathetic ukiona tasisi inashindwa kusimama kwa miguu yake miwili na kuwa wazi inaendesha mambo kwa falsafa ya popo huku anataka kuwa mnyama (ujamaa) huku ndege (ubebari). Hypocricy at work
 
Kuhusu elimu yangu si Muhimu sana Lakini mimi ninaandika ninayojua wewe si hutaki kufuatilia mambo kaa viyo hivyo tu.

Eti unaandika unayoyajua!!! andika basi unayoyajua ya Magamba ili watu wakusome....Acha chuki zako dhidi ya CDM!!!
 
Kamwambie aliyekutuma umekuta hawapo! Sis wasomi bwana peleka ucheshi zako kwenye jukwaa husika.umenikera!!
 
Hujaelewa kitu gani sasa? CHADEMA INAFADHILIWA NA NCHI ZA MAGHARIBI HUELEWI TU?

Ndio sijaelewa unaposema inafadhiliwa kisha unasema unamashaka jinsi fedha zitakavyorudishwa, em sema ni bank ipi ya uholanzi iliyoikopesha CDM, Na kisha unipe tofauti kati ya ufadhili na mkopo...
Ntarudi baada ya kupokea jibu sahihi!
 
Sisi Watanzania "SIO CHADEMA" hatutaki ubepari pili tunataka tuelewe historia ya CHADEMA na kwanini ilianzishwa tatu Mtupe maelezo ya kutosha kwanini Mtei ashindwane na Nyerere? Na nchi ya Uholanzi inafadhili chadema kwa misingi ipi?

Kuhusu CCM nani asiye jua Historia yake? Ni muungano wa vyama viwili TANU na ASP ili kuimarisha muungano.

Acheni kuongea tu LAZIMA MKIELEWE CHAMA CHENU VIZURI SIO KUPELEKWA.

acha kukariri unataka kuniambia CCM iliyotokana na TANU na ASP ndo CCM ya leo wewe bado kichwa maji kweli umelala usingizi wa pono hata kuamka hutaki,nahisi hata watoto wako wanajutia
 
Eti unaandika unayoyajua!!! andika basi unayoyajua ya Magamba ili watu wakusome....Acha chuki zako dhidi ya CDM!!!
Ikifikia wakati wake utaona nitaandika. Lakini hii thread inahusu CHADEMA basi kama hujui usome tu na usikomenti maana huju au gonga LIKE na upite. Niwe na chuki na CDM wananipa nini au wananinyima nini? Mimi ni mzalendo wa Tanzania.

Mr. BANK kama unapointi za kupinga toa sio kusema mimi ninachuki na CDM.
 
Chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo Msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei ambaye alitofautiana na baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za IMF Mtei alikuwa anaunga mkono bali Nyerere alikataa sera za kibepari.

Kwahiyo Sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (Pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama Uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.

CHADEMA kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na CHADEMA kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.

na hii ni hatari sana.

Ubepari ndiyo Dili... Siyo CCM inayowadanganya waTZ ili waendelee kuwa masikini...

Mataifa yote yaliyofanikiwa yameanza na ubepari... na si huu wizi mtupu wa CCM
 
Ndio sijaelewa unaposema inafadhiliwa kisha unasema unamashaka jinsi fedha zitakavyorudishwa, em sema ni bank ipi ya uholanzi iliyoikopesha CDM, Na kisha unipe tofauti kati ya ufadhili na mkopo...
Ntarudi baada ya kupokea jibu sahihi!

Hayo ya mkopo ni yako. Au hujui kuwa CDM ni Kampuni?
 
Ikifikia wakati wake utaona nitaandika. Lakini hii thread inahusu CHADEMA basi kama hujui usome tu na usikomenti maana huju au gonga LIKE na upite. Niwe na chuki na CDM wananipa nini au wananinyima nini? Mimi ni mzalendo wa Tanzania.

Mr. BANK kama unapointi za kupinga toa sio kusema mimi ninachuki na CDM.

Hahahahaha LOL! Eti wewe ni Mzalendo wa Tanzania!!!...halafu huoni hata aibu kuja kukipaka matope chama ambacho kinajitahidi kuikomboa Tanzania na Watanzania toka katika makucha ya chama fisadi!!! Kama huo ndio uzalendo basi hatuhitaji kuwa na wazalendo nchini.
 
acha kukariri unataka kuniambia CCM iliyotokana na TANU na ASP ndo CCM ya leo wewe bado kichwa maji kweli umelala usingizi wa pono hata kuamka hutaki,nahisi hata watoto wako wanajutia

Soma maelezo yangu vizuri ndio ukometi sio kuingilia kati na kukomenti hujui imetokea wapi.

Nimesema CCM imejikwaa sasa inarejea awali. Je wewe nipe Historia fupi ya CHADEMA na msingi wake mkuu.
 
Ubepari ndiyo Dili... Siyo CCM inayowadanganya waTZ ili waendelee kuwa masikini...

Mataifa yote yaliyofanikiwa yameanza na ubepari... na si huu wizi mtupu wa CCM

Hivi wewe unaijua CHINA? je ni nchi ya Kibepari? kama hujui kaa kimya
 
Ubepari tatizo lake ni kwamba mwenyenacho ndie anayepata na siye nacho ataendelea kuwa mnyonge.

Ni tofauti kabisa na mfumo wa kijamaa.
Jaribu kujikumbusha Uraia au siasa darasa la tatu shule ya msingi.
Labda mtoa mada hayuko hapa nchini, lakini kama upo hapa nchini lazima utakuwa ni mnafiki tu (mtu anayenena asichokiamini na kukitekeleza). Sifa ya mnafiki mchana atashika vitabu vya ibada na kuhudhuria katika nyumba za ibada na kujitia alama za waabuduo kwa dhati, usiku ni mchawi mkubwa anayekula nyama za watu. CCM ni chama cha wanafiki wanaoimba ujamaa majukwaani na kuishi kibepari na kutekeleza matakwa yote ya kibeberu (IMF, World Bank na sera zote za kibeberu hapa nchini zimeasisiwa na CCM). Mshahara wa mbunge 7,000,000/- mwalimu 200,000/- kwa mwezi, ni sera ya chama gani? Au Maige naye ni CHADEMA? Vijisenti ni sera ya nani, tena kwa kuzidi kuonesha unafiki wenu mmempa uenyekiti wa kamati ya uchumi na fedha ya bunge la JMT. Lichama la wanafiki wakubwa, piga chini wanafiki magamba.
 
Ndugu yangu hayo ya kusema mimi ni adui wa CHADEMA ni yako tu. Mimi hapa ninachokisema Chama jinsi kilivyo.
Je mtu akitakakuhoji au kuelezea jinsi kitu kilivyo amekua adui? Kama nimekosea ukanushe kwa pointi. Mimi hapa sina uadui na chama chochote ila ninakerwa na sera finyu za baadhi ya vyama vya siasa.

Kama ninacho sema uongo toa pointi zako sawa?[/QUOT

acha ujinga kama unaushahidi na hayo unayo sema kamwambie nape si kuna sheria ya pesa haramu mwende kwa jk mkalishulikie usituletee ujinga.
kama waziri mkuu kulia eti alibino ameuwawa..... machozi hayasaidii chukuwa hatua mzee wacha kubwabwaja na maswali yako hata hizo pesa wala uthitisho hujaleta mimi nikisema wewe umeolewa na yule naniihiiiiii

Ubepari tatizo lake ni kwamba mwenyenacho ndie anayepata na siye nacho ataendelea kuwa mnyonge.

Ni tofauti kabisa na mfumo wa kijamaa.
Jaribu kujikumbusha Uraia au siasa darasa la tatu shule ya msingi.

Ujamaa unaotaka wewe na magamba wenzio nadhani ni ule wa CHENGE kukutwa na mapesa nje ya nchi LOWASA kuwa tajiri kuliko watu wote monduli RIDHIWAN kumiliki maloli mengi ya mizigo...NYAMBAFUUUUUUUUUUUUUU.
 
Hahahahaha LOL! Eti wewe ni Mzalendo wa Tanzania!!!...halafu huoni hata aibu kuja kukipaka matope chama ambacho kinajitahidi kuikomboa Tanzania na Watanzania toka katika makucha ya chama fisadi!!! Kama huo ndio uzalendo basi hatuhitaji kuwa na wazalendo nchini.

Hivi wewe ndio unajidanganya hivyo kuwa CHADEMA ndio inakomboa WaTZ? wewe mwenyewe ndie unayejikomboa ukisubiri chama kikukomboe utabaki hivyo hivyo. Wenzio CDM wanaulaji wao ndio kazi yao hiyo wanalipwa mshahara. Utabaki hivyo hivyo. Jikakamue mwanaume.
 
Huu nao ni ujinga usio na kikomo. Mwanzilishi wa hoja hii jiulize sasa tuko kwenye mfumo gani wa maisha. Je hiyo CCM yako inatutawala kwa mfumo upi? Kila mmoja sasa anahangaika na maisha yake na watoto wake je huo ni ujamaa?. Suala sio mfumo bali ni jinsi gani mfumo husika unavyotenda haki kwa watu wake. Heri kuishi kwenye ubepari unaotoa fursa ya watu kujineemesha, kuliko kuishi kwenye ujamaa unaodumaza maisha wa watu wake. Kama wachina na Warusi, wameshindwa itakuwa nchi yetu. Usianzishe hoja bila kwa na hoja.
 
Ubepari tatizo lake ni kwamba mwenyenacho ndie anayepata na siye nacho ataendelea kuwa mnyonge.

Ni tofauti kabisa na mfumo wa kijamaa.
Jaribu kujikumbusha Uraia au siasa darasa la tatu shule ya msingi.

Sasa Hivi wewe unapata, Je Una uhakika na sisi tunapata kama wewe? Mijitu Mingine bana ikishapata inajua kila mtu anapata kama yeye so inadhani nchi hii kuna ujamaa.
 
Hivi wewe ndio unajidanganya hivyo kuwa CHADEMA ndio inakomboa WaTZ? wewe mwenyewe ndie unayejikomboa ukisubiri chama kikukomboe utabaki hivyo hivyo. Wenzio CDM wanaulaji wao ndio kazi yao hiyo wanalipwa mshahara. Utabaki hivyo hivyo. Jikakamue mwanaume.

Pumba tupuuuuu! Huna hoja naona unajikanyagakanyaga tu fisadi wewe. Huna jipya!!!! Uwe unafikiri kwanza kabla ya kuandika badala ya kutundika pumba zako hapa.
 
Back
Top Bottom