Unataka kuijua CHADEMA? Angalia hapa

Unataka kuijua CHADEMA? Angalia hapa

Je Mwenyekiti wa CDM anachaguliwa na Umma?
NA
NAPE KAKULIPA NGAPI MBONA UNAHANGAIKA SANA UNACHOONGEA HAKIELEWEKI NEXT TIME JIPANGE USIJE KAMA CCM PALE JANGWANI HAKUNA HOJA ZAIDI YA WASANII:A S thumbs_down:
 
chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa chadema ni mzee mtei ambaye alitofautiana na baba wa taifa mwalimu julius kambarage nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za imf mtei alikuwa anaunga mkono bali nyerere alikataa sera za kibepari.

Kwahiyo sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.

Chadema kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na chadema kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.

Na hii ni hatari sana.
may your soul rest in peace amen
 
Mimi sija sema hakina uhalali kisheria hapa ni mfumo wake jinsi ulivyo.

1. Ninataka ulete historia ya chadema na utendaji wake wa kazi.
2. Ni kwanini Nyerere na Mtei walikorofishana na ikapelekea Mtei ahame na kuanzisha CHADEMA?
3. Nieleze kwanini Kaburu alihama CHADEMA na kurudi CCM?
4. Nchi kama ya china si ya kibepari lakini ndio sasa inayo tisha kiuchumi duniani. So sisi watanzania hatutaki Kuwa na UTAWALA BORA bali UONGOZI BORA, hii ndio MSINGI MKUU WA CCM.

CCM wamejikwaa sasa wanarejea mwanzo.


Nikuulize swali na unijibu usikwepe. Msingi mkuu wa CHADEMA ni nini?

Sioni haja ya kulumbana na asiyejua.
 
KWANI ccm WANAFATA mFUMO GANI VILE....Kweli watu wengine wana uyatima wa akili

Hapa tunaongelea CHADEMA post yako kuhusu CCM hujakatazwa na mtu.
 
Ubepari tatizo lake ni kwamba mwenyenacho ndie anayepata na siye nacho ataendelea kuwa mnyonge.

Ni tofauti kabisa na mfumo wa kijamaa.
Jaribu kujikumbusha Uraia au siasa darasa la tatu shule ya msingi.

kwani ccm ni wajamaa? au chama gani cha kijamii, au nchi yetu ni ya kijamaa kwa sasa?
 
Annael, hebu tuambie ni nani alieliua Azimio la Arusha na misingi yake ya ujamaa na kujitegemea kule Zanzibar? kama sikosei ni kamati kuu ya CHADEMA chini ya uenyekiti wa mzee ruksa a.k.a mzee Ali Hasan Mwinyi! au vipi? ebu tupe Darsa mkuu mchambuzi wa mambo ya CHADEMA!

Itafikia hiyo subiri mda wake utaiona tu hapa leo tunaongelea CHADEMA sawa?
 
​siku ukijijua kuwa una matatizo ya kichwa basi milembe vitanda vitakuwa wazi pole sana kuna blog ya ccm kayasemee kule
 
Una maanisha nini unaposema Umma?

Wewe umesema chadema misingi yake ni nguvu ya umma. umma kwa kizungu ni Public sasa nikuulize mwenyekiti anachaguliwaje ninyi kwenye chama chenu?
 
mtu mpumbavu hata ukimtwanga kwenye kinu pamoja na ngano upumbavu wake haumtoki
 
Ubepari tatizo lake ni kwamba mwenyenacho ndie anayepata na siye nacho ataendelea kuwa mnyonge.

Ni tofauti kabisa na mfumo wa kijamaa.
Jaribu kujikumbusha Uraia au siasa darasa la tatu shule ya msingi.


Kwa hiyo kwa kili zako CCM inafuata siasa za ujamaa au hata hujui unachokiandika?

Zingatia kinachofanywa na CCM sasa hivi kisha njoo uandike upya. Maana mafisadi wako chama gani na wezi wa pesa zetu za umma wako chama gani... ni CCM...na je lengo lao ni nini kama siyo kuwa mabepari bila jasho? heri CDM wao kama watapenda kuwa Mapepari kwa kila mtu na jasho lake ubaya uko wapi?? Endapo mtu atazingatia kufanya kazi atakuwa na pesa hatimaye, na siyo nyie CCM mtu anapenda kuwa tajiri na bepari wa kitupwa but kwa kutuibia yaani ufisadi...EPA, Richmond, IPTL, Song gas, n.k, soma pia report ya CAG ya sasa na hata zilizopita je hao wote ni CDM? Bado uko usingizini amka!!!!
 
Ndio maana sie ni wanachama, Soma signature yako then jipange uje upya?
 
​siku ukijijua kuwa una matatizo ya kichwa basi milembe vitanda vitakuwa wazi pole sana kuna blog ya ccm kayasemee kule

Wewe naye kwani kosa langu nini?
 
mtoa maada umetumia kigezo kipi kuja na hii thread? au umelewa ndio ukaingia hapa? tuliza ubongo ndio ulete maada
 
Chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo Msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei ambaye alitofautiana na baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za IMF Mtei alikuwa anaunga mkono bali Nyerere alikataa sera za kibepari.

Kwahiyo Sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (Pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama Uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.

CHADEMA kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na CHADEMA kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.

na hii ni hatari sana.



Naunga mkono hii hoja kwa asilimia mia moja.
Juzi kwenye mkutano wa CHADEMA Jangwani, kulikuwa na mamluki ambao hata mimi niliwatilia shaka. Walikuwa wamekaribishwa na walikaa kama vile nao ni wenyeji (Watz). Najiuliza, hawa ndo washauri wa CHADEMA? au wamekuja kungalia pesa wanayotoa inatumikaje? Au wana agenda gani ya siri na CHADEMA?

CHADEMA wanarejesha ukoloni Tz, wanatupiga bei kabla hata hawajakamata dola.

Mamluki wa CDM.JPG
 
Kwa hiyo kwa kili zako CCM inafuata siasa za ujamaa au hata hujui unachokiandika?

Zingatia kinachofanywa na CCM sasa hivi kisha njoo uandike upya. Maana mafisadi wako chama gani na wezi wa pesa zetu za umma wako chama gani... ni CCM...na je lengo lao ni nini kama siyo kuwa mabepari bila jasho? heri CDM wao kama watapenda kuwa Mapepari kwa kila mtu na jasho lake ubaya uko wapi?? Endapo mtu atazingatia kufanya kazi atakuwa na pesa hatimaye, na siyo nyie CCM mtu anapenda kuwa tajiri na bepari wa kitupwa but kwa kutuibia yaani ufisadi...EPA, Richmond, IPTL, Song gas, n.k, soma pia report ya CAG ya sasa na hata zilizopita je hao wote ni CDM? Bado uko usingizini amka!!!!

Soma kila kitu ndio upost. Mimi sija sema CCM ni wajamaa. ila walijikwaa kutoka kwenye ujamaa na sasa wanajirekebisha.
Huelewi nini sasa?
 
Waulize CCM mimi sio CCM sawa tafadhar bwana.

Sasa unipa wasi wasi na ufahamu wako maan wewe unasema mmeanza kurudi kwenye enzi zenu pale mlipozaliwa toka Tanu na asp, sasa hapa unakana kwamba wewe sio ccm, sasa wewe ni chama Gani? au wewe uliwahi kuwaliza Chadema maswali unayouliza hapa JF? Acha unafiki na kama wewe ni mzalendo kama unavyojiita vaa gwanda, ili tubadili mfumo mzima wa serikali, Mfumo hauwezi kubadilishwa na mtu mmoja bali kwa wazalendo wa kweli kushirikiana kwa pamoja, ccm washindwa na sasa meli ya ukombozi ni Chadema ukiwa mzalendo wa kweili Panda Meli hii.
 
Back
Top Bottom