Unataka kuchakachua modem yako post kwa mkaa mweusi tatizo lako (ze big)

mods pls funga hii topic

We ndiye mtoa amri kwa maMODS humu ndani? Kwa nn uwafundishe kazi? Acha ubabe bw mdogo, ili ni jukwaa uhuru, kila mtu anaruhusiwa kupost chochote ilimradi asivunje sheria za humu ndani.
 
We ndiye mtoa amri kwa maMODS humu ndani? Kwa nn uwafundishe kazi? Acha ubabe bw mdogo, ili ni jukwaa uhuru, kila mtu anaruhusiwa kupost chochote ilimradi asivunje sheria za humu ndani.

akuna alotoa amri ila maoni, akuna anayefundisha mm sio mwlm, akuna mbabe mana aisaidii chochote nikweli ili nijukwaa huru tena huru kweli kweli ndomana unaweza kuniita bwana mdogo ila kukumbushana kufahamishana ni muhimu ndio mana tukamwambia tayari kuna topic mama kuhusu huawei ambayo inamengi na msaada zaidi mfano tangu ameanzisha ametoa msaada gani next tme kabla ujadandia treni kwa mbele soma mjadala vzuri sory kama nimekukwaza mkuu
 
Mkuu kwa namna fulani nakubaliana na wewe, hakatazwi mtu kupost hapa lakini maranyingi watu wanakuja na mbwembwe nyingi wakianza kupewa requet badala ya kuonyesha maujuzi wao wanaanza kujibu malumbano.
Toka apost thread hii tumetuma request zetu lakini kimya hadi sasa
 
Labda zinafanyiwa kazi hizo request,ingekuwa bora kumuuliza amefikia wapi kuhusu hizo request kabla ya kumtuhumu-wacha nisidandie tereni hili kwa kati,
Mkuu kwa namna fulani nakubaliana na wewe, hakatazwi mtu kupost hapa lakini maranyingi watu wanakuja na mbwembwe nyingi wakianza kupewa requet badala ya kuonyesha maujuzi wao wanaanza kujibu malumbano.
Toka apost thread hii tumetuma request zetu lakini kimya hadi sasa
 
Mkuu kwa namna fulani nakubaliana na wewe, hakatazwi mtu kupost hapa lakini maranyingi watu wanakuja na mbwembwe nyingi wakianza kupewa requet badala ya kuonyesha maujuzi wao wanaanza kujibu malumbano.
Toka apost thread hii tumetuma request zetu lakini kimya hadi sasa

kweli mkuu lengo langu si kuzuia ila kuendeleza post moja inayotatua tatizo moja ili iwe rahisi kuonekana na kutatua kwa urahisi mfano unakuta mtu anauliza au kuomba msaada wa jambo ambalo tayari limeshatolewa ufafanuzi wakina kiasi kwamba angefungua topic usika wala asinge pata shida kabisa
 
mkaa mweusi,
post yako c mbaya ila umekuwa umeacha pending request za watu bila ya kuleta solving,
kama hii aliyoandika calvinpower.

(mkuu kuna modems za huawei ambazo zipo counter blocked yaani haziulizi tena kuweka unlock code huawei E1550. unaweza nipa maelekezo ya kuzifungua?)

pia anayosema drphone is true,this topic had been posted b4 with lot of skills,and helped a lot of people...

hopefully u do take action mkaaa concerning calvin power question.
 
Sawa kabisa maelezo haya hapa chini nayatoa

Kwa wale wote waliopost HUAWEI E 1550, fanyeni yafuatayo
Download hii kitu ambayo utaandika IMEI namba ya modemu yako na itakupa NCK (unlock code), ukishamaliza kudowload hii huawei unlocker, Click hapa udawnload hi a code writer itakayokuwezesha kuweka hizo Code kwenye MODEM yako http://rapidshare.com/#!download|770tl|343580115|HUAWEI_MODEM_Code_Writer.zip|843
Fuata maelekezo haya kuziweka hizo code kwenye MODEM yako
How to unlock the Huawei E1550 3G Modem

By kartonista | August 9, 2010

Read this guide and find out how to unlock a Huawei 3G Modem. Detailed step-by-step guide.

Huawei 3G modems are shipped out by providers are usually lock. Read on and find out how to easily unlock your Huawei 3G Modem.
Most 3G modems available are locked to a single network to avoid the use of SIMs from competitors with similar or better service. As all product of technology, there are ways to unlock these modems.
The following step-by-step procedure on how to unlock your Huawei E1550 3G modem. The same work may work with other models but I can't guarantee the result will be the same.
What you need?

Calculating the Unlocker Code

All Huawei 3G modems come with an IMEI Number (International Mobile Equipment Identifier). The IMEI will be used to calculate for the unlock code using the Huawei Modem Unlock Code Generator.
You can also go to this website to generate the unlock code.
1. Determine the IMEI Number of your E1550 3G Modem by removing the micro-SIM. It will be labeled as "IMEI".
2. Open the Huawei Unlock Code Generator.
3. Enter the IMEI Number in the field provided and click the "Calculate" button. Take note of the "Unlocker Code."
Unlocking Huawei E1550 3G Modem

Now that we have the unlock code, we're going to write it in the 3G modem to open it. Remove the micro-SIM card and connect the 3G modem to the computer.
1. Open the Huawei Modem Code Writer.
2. The Code Writer will automatically detect the modem. Make sure that your modem is selected under "Comport Setup."

3. Press the "Unlock Modem" button. A pop window will appear asking you to enter the code.
4. Enter the code on the field provided and click "OK".

Now you have an unlock Huawei E1550 Modem. Be wary of unlocking the modem as you may encounter errors beyond repair.
UPDATE:
 
Wakuu nipeni majibu
Thx for your reply. ila mkuu hii software inaandika codes kwenye modems ambazo hazipo counter blocked na si ambazo zipo counter blocked. yaani ambayo haikuulizi tena unlock codes. the only solution ni kwa njia ya patch. na sijapata patch yake.
below is my sreenshot

- Revision :11.126.11.00.94
- Phone IMEI :353558042247288

Found Phone, Phone Info:
- Manufacturer :huawei
- Model :E1550
- Revision :11.126.11.00.94
- Phone IMEI :353558042247288

Send Unlock Command... ERROR
 
Wakuu nipeni majibu
I did not find this solution helpful. njia nzuri ya kuepuka kujaza forum space ni kusikiliza suggestions za watu kama alivyosema Zasasule, Dr Phone na wengine na si kuja na solution ambazo huna uhakika nazo nilitegemea uliwahi kukutana na tatizo kama langu na ukalitatua. na kama ulifanikiwa basi ndo ungekuja na kutoa maelekezo uliyotumia na si ku-copy and paste solutions ambazo hazitatui tatizo.
 
Wakuu nipeni majibu

mkuu jaribu kuja solution ambayo umeyafanyia kazi na sio kugoogle na kucopy na kupaste na kwa ajili hyo turudi kwenye topic mama tuunganishe nguvu pamoja itapendeza zaidi mkuu natangulza heshima mbele
 
Mkuu kuna njia nyingine unaweza kutumia DC UNLOCKER unaiflash hiyo modem au kuinlock, Na unaweza kuupdate firmware za hiyo modem
Cation: Do it at ur own risk but 4sure it z goin 2 work ukitumia hizi njia
 
Mkuu uko sawa tuhamishie nguvu huko, Naona unaipa shavu sana hiyo topic
 
Mkuu kuna njia nyingine unaweza kutumia DC UNLOCKER unaiflash hiyo modem au kuinlock, Na unaweza kuupdate firmware za hiyo modem
Cation: Do it at ur own risk but 4sure it z goin 2 work ukitumia hizi njia

iko powah kama inawezekana..
then basi
weka maelekezo
1.wapi itapatikana hiyo dc unlocker?
2.wapi tunaweza kudownload hiyo firmware ili tuweze kuflash modem?
3.Hiyo firmware inasupport all i mean 2g and 3g network?
3.tupe steps by steps za kuflash..kuanzia mwanzo mpaka mwisho....
4.have you tried kuflash?couse man umegurantee kwamba itakubali ukifanya hivyoo..
 
Mkuu kuna njia nyingine unaweza kutumia DC UNLOCKER unaiflash hiyo modem au kuinlock, Na unaweza kuupdate firmware za hiyo modem
Cation: Do it at ur own risk but 4sure it z goin 2 work ukitumia hizi njia
Mkuu maelezo uliyoyatoa yanafanana na haya hapa au ndipo ulipotoa hapa How to unlock the Huawei E1550 3G Modem | Kartonista kumbuka huyu aliyeandika hapa nae sio professional au expert. hii kitu imewaumiza sana vicha wale ma-guru. hii modem inafunguka kwa njia ya patch tu. customized firmware ni mpaka upate firmware ya ile iliyotumika kufungia then una flash only the required field. so far patch ambazo zipo on line ni IDEA india, Kyivstar Ukraine, na MTS (MTC) Ukraine pia. hata dc-unlocker ndizo wanaweza kufungua.
so haelezo yako hujayafanyia reaserch. umetoa tu huko na kuweka hapa bila hata kufanya utafiti. maana hata hao dc unlocker wana forum jaribu kusoma forum yao uone malalamiko kuhusu E1550.
dc-unlocker wana-support only zilizofungwa kwenye mitandao mitatu tu na wameziorodhesha. check hapa Dc-unlocker | list supported models producers features Huawei, ZTE
 
Back
Top Bottom