Unataka kuagiza nguo kutoka nje

Unataka kuagiza nguo kutoka nje

Na nikiagiza mnanitumia mzigo au inabidi nianze mwenyewe kufanya arrangement ya kusafirisha? Ni PM bei zenu tafadhali

Ndugu yangu bei zetu kwa nguo za watoto hizi hapa.Tunaweza kuarange usafiri kutoka Ukraine had ulipo
 
nahitaji kujua gharama ya kuagiza tsht hizo ,aina mbili hapo juu zikiwa 50 kwa 50

Ndugu yangu kwa sasa hizo T-shirt kama zilivyo hatutengenezi kwa sababu ilikuwa order ya mtu-ila tunatengeneza hizi hapa tunatumia kitambaa ambacho cotton lacoste 100% plain kama unavyoona.Ila kama una nembo yoyote tunaweza kufanya embroidery kama ulivyoona hiyo polo yenye punda bei zetu ni dollar 12 FOB kwa t-shirt ila tunaweza kuarrange usafiri kutokana na chaguo lako
 

Attachments

  • 0002_beige-731x1024.jpg
    0002_beige-731x1024.jpg
    39.1 KB · Views: 147
  • 0002_black-731x1024.jpg
    0002_black-731x1024.jpg
    40.7 KB · Views: 139
  • 0002_blue-731x1024.jpg
    0002_blue-731x1024.jpg
    44.9 KB · Views: 127
  • 0002_green-731x1024.jpg
    0002_green-731x1024.jpg
    47.3 KB · Views: 129
  • 0002_melange-731x1024.jpg
    0002_melange-731x1024.jpg
    54.5 KB · Views: 128
TOLEO LETU JIPYA KWA SIKU YA LEO

DRESS
Material: Chiffon Material / Micromacro
Size:S,M,L
Full description
Length: 82 cm
Bright spring dress. The skirt is made of thin denim fabrics with floral pattern, top - chiffon blouse with jeans insets at sleeves and neck. The front is decorated with elegant necklace, rear - cut and drop a button.

Price 119000 TSH for 1 Piece(FOR THOSE WHO WANTS TO ORDER SAMPLE THIS PRICE IS TILL YOUR DOOR
For 15USD FOB (FOR 100 PIECES) this price is for whole sale
 

Attachments

  • 4044_5.jpg
    4044_5.jpg
    59.9 KB · Views: 88
  • 4044_4.jpg
    4044_4.jpg
    62.1 KB · Views: 104
  • 4044_3.jpg
    4044_3.jpg
    61.3 KB · Views: 106
  • 80dfd8478b39b097a1b2d4ce80f6701c.JPG
    80dfd8478b39b097a1b2d4ce80f6701c.JPG
    103.6 KB · Views: 105
  • 7b69fcdcb51922c9ab274a22926e78ee.jpg
    7b69fcdcb51922c9ab274a22926e78ee.jpg
    110.8 KB · Views: 120
  • a8894dca22bc18a889da2d79c81e712d.JPG
    a8894dca22bc18a889da2d79c81e712d.JPG
    116.1 KB · Views: 89
Ngugu zangu nawakilisha toleo letu jipya la siku ya leo ni skirt murua kabisa

Model: Skirt in a cage

Description:
Solid skirt to the floor of costume fabric. Trendy print "cell" allows you to combine skirt with clothes of different styles. Simplicity of style allows combination with accessories. Composition: 20% wool, 30% cotton, 50% polyester


size vol of breast vol of waist Volume thighs
[TABLE="width: 500, align: center"]
[TR]
[TD]42[/TD]
[TD]84[/TD]
[TD]64[/TD]
[TD]92[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]44[/TD]
[TD]88[/TD]
[TD]68[/TD]
[TD]96[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]46[/TD]
[TD]92[/TD]
[TD]72[/TD]
[TD]100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]48[/TD]
[TD]96[/TD]
[TD]76[/TD]
[TD]104[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]50[/TD]
[TD]100[/TD]
[TD]80[/TD]
[TD]108[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]52[/TD]
[TD]104[/TD]
[TD]84[/TD]
[TD]112[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 

Attachments

  • gr-y-pr-gry-bei-3.JPG
    gr-y-pr-gry-bei-3.JPG
    88.2 KB · Views: 76
  • gr-y-pr-gre-4.JPG
    gr-y-pr-gre-4.JPG
    88.3 KB · Views: 86
  • gr-y-pr-blu-bei-1.JPG
    gr-y-pr-blu-bei-1.JPG
    111.4 KB · Views: 114
Jamvini oyee.
Kwa wale mliagiza nguo tafadhalini wasilianeni na mwakilish wetu ili mkazichukue
TINNA MOSHA numba yake +255 767-55 56 57
 
Tumeanza kupokea order za nguo maalumu kama za wauguzi wa maospitalini,dancers,wafanyakazi wa ndege,wafanyakazi wa makampuni ya ulinzi,ujenzi na mengineyo,makampuni ya matangazo na promotion mbalimbali,jezi za mpira,trucksuits sare za harusi na wapambe wa harusi na zinginezo kwa mahitaji tafadhali tuwasiliane hizi picha ni sample kama utakuwa na mahitaji basi tuwasiliane
 

Attachments

  • ______741_4ee2266c0e2f8.jpg
    ______741_4ee2266c0e2f8.jpg
    22.8 KB · Views: 106
  • ______7892_4ee2255dab15e.jpg
    ______7892_4ee2255dab15e.jpg
    101.8 KB · Views: 104
  • 1.jpg
    1.jpg
    32.1 KB · Views: 99
  • 9874_4ee21e6fb1c17.jpg
    9874_4ee21e6fb1c17.jpg
    83.3 KB · Views: 98
  • 24786.png
    24786.png
    53.5 KB · Views: 109
  • poshiv-korporativnoj-odezhdy-na-zakaz-1-1.jpg
    poshiv-korporativnoj-odezhdy-na-zakaz-1-1.jpg
    17.8 KB · Views: 89
  • btl_023517_51b71a712994f.jpg
    btl_023517_51b71a712994f.jpg
    17.2 KB · Views: 88
  • 529280.png
    529280.png
    39.9 KB · Views: 104
  • 187680.jpeg
    187680.jpeg
    27 KB · Views: 97
  • specodezhda-stati-47.jpg
    specodezhda-stati-47.jpg
    68.7 KB · Views: 75
  • w1213_503377eb2d901.jpg
    w1213_503377eb2d901.jpg
    52.3 KB · Views: 97
  • w12343_503379eabc3cc.jpg
    w12343_503379eabc3cc.jpg
    25.5 KB · Views: 95
  • w21354_50337a4e194fa.jpg
    w21354_50337a4e194fa.jpg
    44.7 KB · Views: 102
Ndugu yangu kwa sasa hizo T-shirt kama zilivyo hatutengenezi kwa sababu ilikuwa order ya mtu-ila tunatengeneza hizi hapa tunatumia kitambaa ambacho cotton lacoste 100% plain kama unavyoona.Ila kama una nembo yoyote tunaweza kufanya embroidery kama ulivyoona hiyo polo yenye punda bei zetu ni dollar 12 FOB kwa t-shirt ila tunaweza kuarrange usafiri kutokana na chaguo lako

Nitapenda kuwa wakala/mwakilishi wenu pia, nina kampuni yangu ofisi zetu zikiwa Mbeya jijini, hivyo tunaweza fanya marketing nchi za jirani; Malawi na Zambia. whasapp me (+255754734009) nguo hasa Tsheti zenye cotton tupu ziwe nzito, huku ni baridi, ziwe plain. (zenye kola tu) nipe bei zake pia kwa kuagiza pc 100 na kuendelea plus usafiri mimi iwe kutoa tu bandarini au kuletewa na carrier companies.
 
Herini ya mwaka mpya
ndugu zangu kaeni mkao wa kula
kutokana na idadi kubwa ya watu ambao wametokea kupendezwa na bidhaa zetu kuwa wengi tumeona tuanzishe mfumo wa kuuza nguo moja moja na si kwa jumla kama ilivyokuwa mwanzo.ununuaji utakuwa simple na kwa njia ya mtandao.kaeni mkao wa kula tuna mapio mengi sana ya vijana mpaka wazee tovuti yetu itakuwa hewani kuanzia mwisho wa mwezi

swali kwa wapenzi wa bidhaa zetu:
Bidhaa zetu zitakuwa nguo za kike na kiume,viatu na mikoba

pia tutatengeneza kutokana na size ya mnunuzi

swali:je ungependa bidhaa zetu ziwe na jina gani

mdau yoyote ambaye atatupatia jina na tukaridhika nalo basi atachagua bidhaa yoyote nasi tutamtengenezea kama zawadi

kumbuka jina lazima liwe universal ,fupi lenye asili ya kitanzania

asanteni
 
Back
Top Bottom