CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,076
Ndugu yangu kiwanda chetu kinapatikana KIEV-Ukraine hii ni kutokana na ukaribu wa malighafi zote na nguvu kazi kama utahitaji kututembelea na kuona nini tunafanya basi tunaweza kuarange.Pia tumepata license ya Nicolleta kampuni ya Uturuki ya nguo za ndani hivi karibuni tutaanza kutengeneza nguo za ndani za kike so any business future cooperation we tupia barua
Shukrani
Haina shaka mkuu nimekuelewa vizuri, looking forward to doing business.